Search results

  1. 2

    Bei ya kupandisha Dume

    This is nice one! Charges for the boy must be doubled, I guess.
  2. 2

    Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

    Kama Tambwe Hiza pia ila naona Hiza anakula bata na kuwatukana watanzania kwa jeuri kubwa mno! CCM woyee! lakini siku zake zinahesabika!
  3. 2

    Naomba kujua juu ya Joyce Kiria

    Mambo ya wawili (in this case, Joyce na Dj Nelly) ni vigumu kujua kwa uhakika nini kimewakuta hivyo talaka, furaha ya kupata talaka, n.k ni usiku wa giza kwetu. Ni kweli Joyce anapambana sana na ingekuwa vyema wakina daa/mama wengine wakaiga ukitilia maanani alikuwa na historia ngumu kama...
  4. 2

    Slaa awalipua Rostam, Riziwan

    Nahisi sijakuelewa! Rizwan kumiliki mabilioni ya WATANZANIA ni KITU CHA HATARI! Baba yake kuwa waziri hata kwa miaka 50 kwa mishahara ya serikali inayojulikana haiwezi kumfanya mtoto (hata yeye mwenyewe) kuwa bilionea! Tafadhali fikiria sana next time unapotoa mawazo yako huku!
  5. 2

    Vitengo hivi vipo Wizara gani? Elimu ya Juu, Utamaduni

    Muundo wa baraza lake la mawaziri haliridhishi hata kidogo! Ni kupeana ulaji tu! Serikali bado ni kubwa sana! Vuvuzela hawezi kuachwa, ila inabidi aongezewe ulaji: Mbunge SADC, uwaziri, nk
  6. 2

    Vitengo hivi vipo Wizara gani? Elimu ya Juu, Utamaduni

    "Elimu sio muhimu sana kwa watanzania", nafikiri ndio alicho waambia JK washikaji wake. "Wakielimika watatusumbua sana hawa, si umeona uchaguzi walivyotutoa jasho?" "By the way yule mwenye SLAA yuko wapi siku hizi?"
  7. 2

    Prof. Mwakyusa naona pia kaachwa, wizara ya Afya aliimudu

    Kweli Prof aliiweza sana ila labda wamemuona tishio kwa 2015. Ni mmoja wa watu safi wachache waliobakia.
  8. 2

    Elections 2010 Maandamano- uchaguzi tanzania jumamosi nov 6washington dc 2010, 10:am (white house)

    Umefilisika mawazo! Unaweza usishiriki lakini hauna sababu ya kutukana! Au kwa vile unaamini CCM inatakiwa iambiwe OYEE!?
  9. 2

    Elections 2010 Maandamano- uchaguzi tanzania jumamosi nov 6washington dc 2010, 10:am (white house)

    Inasikitisha sana kulazimishiwa uongozi na kunyimwa hata haki ya kikatiba ya kuandamana kupinga jambo lililo wazi kama kuibiwa kura (haki nyingine ya kikatiba)! Mungu awalinde mkitetea nchi yenu!
  10. 2

    Elections 2010 Matokeo ya Rais so far: Haya hapa!!!

    Yeah, inatisha! elimu itolewa kabla ya uchaguzi ujao (of coz kama uchakachuaji sio sababu!).:A S angry:
  11. 2

    Elections 2010 Slaa aunguruma Mwembeyanga, LIVE TBC1

    Saaaafi sana! Nguvu ya Umma inanguruma sasa!
Back
Top Bottom