Search results

  1. American nigga

    Shoti Imetokea Kidatu, Umeme Umekatika DSM Yote

    Wakuu tuliambiwa mwezi uliopita kuwa Bwawa la Nyerere, limeanza kuchangia Umeme katika Gridi ya Taifa. Jana usiku Kuna Shoti Ikatokea Kidatu na kupelekea Umeme kukatika Dsm Yote! Najiuliza swali Ule umeme tulioambiwa Umeingizwa kutoka bwawa la Nyerere uko wapi? Kama upo Kwanini shoti...
  2. American nigga

    Nimempiga mfanyakazi mwenzangu baada ya kula mbele yangu na akijua mie nimefunga

    Wewe ni Chizi (Victim) Unampiga mwenzio kazini sababu ya Vitu ambavyo havikusaidii kitu.! Umemzidi nini kimaendeleo uliempiga? utakuta mpo sawa au amekupita!😆 Unawezaje kuthibitisha kuwa huo upumbavu wako Umekupa maendeleo au kitu kikubwa kumshinda uliyempiga! Waafrika kweli ni mitambo.
  3. American nigga

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    Alinisaidia sana Mara kadhaa nikienda Ofisini kwake alikuwa anakuwa na members kadhaa wa JF. na alikuwa akiniambia "Dogo unamjua Fulani wa JF? sasa ndo huyu hapa." I wish siku moja ningekukuta nae na akanitambulisha kuwa hapa upo na Kiranga" maana you're my first role model
  4. American nigga

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    Superman Nimemfahamia hapa, JF. Akanisaidia kutoka 0 na kunipa maarifa mapya. Ni msiba mzito kwangu.
  5. American nigga

    Kinywaji cha Mo Extra ni energy drink au siyo?

    Angalia kwenye ingredients, utakutana na maneno caffeine na Sugar, Hayo maneno ndo Neno "Enegy" unalosema halipo, wanacheza na akili za wajinga na wanafanikiwa.
  6. American nigga

    Kinywaji cha Mo Extra ni energy drink au siyo?

    Energy drink ina sifa kuu ya kuleta nguvu na uchangamfu haraka kutokana na viungo vyake kama caffeine na sukari. Viungo hivi viwili ndiyo Msingi mkuu wa Kinywaji chochote cha Energy Drink. Sasa twende kwenye Mo Extra ambayo kimsingi watu wanaiita kuwa ni Soft Drink. Pia katika chapa yake...
  7. American nigga

    Nimeona story ya Beka ya mahari milioni 22. Nawapa experience yangu nilivyobargain na wakwe zangu, vijana jifunzeni

    mimi niliambiwa mahali mil 15, nilikimbia hadi leo, ila nimejifunza kutoka kwako
  8. American nigga

    Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

    una utani sana we dogo, Nimekaa nyumba tofauti, Zenye AC Kuwasha AC moja ya sebuleni kwa siku kuanzia saa moja hadi saa nne usiku inabonda umeme wa 30000 kiulaini kabisa, Hiyo ni AC moja, siku Moja Una utani khaaa!
  9. American nigga

    Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

    Acha uongo dogo, AC moja ndani ya saa kumi na mbili inakata vizuri kabisa unit kuanzia 50 hadi 80 wewe hizo AC umezitoa wapi
  10. American nigga

    Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

    Hahaha dogo ana utani sana huyu
  11. American nigga

    Sasa nahitaji ndoa kuliko kitu kingine chochote. Siwezi tena kusubiri

    Aiseee, Narudia Tena aiseee usije ukathubutu kukurupukia jambo hili, yatakukuta mazito sana otherwise uwe na bahati ya mtende.
  12. American nigga

    Nifanyeje ili niache huu uraibu wa kucheza na watoto maana jamii inanichukulia tofauti

    Kukaa na watoto siku hizi ni hqtari si muda utaambiwa mlawiti
  13. American nigga

    Muhimbili na Utata Mkubwa

    Na ndo maana Mnaitwa Waafrica, Kuulizwa Kazi yako ni ipi katika chumba cha daktari ni sahihi kwa 100% maana kazi inaathiri maisha ya mtu ila sio kuulizwa Swali hilo Reception.
  14. American nigga

    Muhimbili na Utata Mkubwa

    Acha kuchanganya majukumu ya Mpokeaji wagonjwa Reception na Daktari, Hapo maswali ya "Kazi yako ni ipi" yana mashiko ya moja kwa moja Ukiulizwa na Doctor, Sio Reception.
Back
Top Bottom