Search results

  1. S

    Nawezaje kubadili lugha kwenye computer?

    Kama heading invyojieleza computer ipo kwenye lugha ya kijerumani nahitaji kuibadisha iwe katika lugha ya kingereza.naombeni msaada wenu.
  2. S

    Msaada ni jinsi gani unaweza kuiongeza internal memory ya Simu ?

    mkuu unafanyaje hiyo rooting?alaf kuna wale jamaa wanauza cm za kichana mkono maeneo ya town kuna code number wanaingiza alafu memory ya cm inaongeza ivi hakuna mwenye utaalam huo humu ndani.
  3. S

    Msaada ni jinsi gani unaweza kuiongeza internal memory ya Simu ?

    Naomba msaada ni code number gani naweza kutumia nikaiongezea uwezo (internal memory GB) tablet YXTEL M901.
  4. S

    wakuu nahitaji USED SAMSUNG TABLET kwa beii nafuu kwa mtanzania wa kawaida sa

    wakuu kama heading inavyojieleza nahitaji hiyo tablet kama kuna mtu anayo ila iwe katika hali nzuri kidogo. kwa yoyote mwenye nayo anaweza kuni MP karibu sana
  5. S

    Nahitaji Huawei Y-530, nina laki moja

    wadau mbona kimya????
  6. S

    Nahitaji Huawei Y-530, nina laki moja

    Budget yangu ndo hiyo hapo kama kuna mtu anayeuza tuwasiliane kwa no 0713 733408
  7. S

    Barrick wameita?

    Wakuu barrick walitangaza post mbalimbali deadline ilikuwa tarehe 18 mwezi wa 7. Kwa yeyote mwenye taarifa na post zile atujuze kama wameita au bado
  8. S

    nisaidieni kuhusu tume ya ajira

    mkuu asante nimekuelewa sana.God be with u
  9. S

    nisaidieni kuhusu tume ya ajira

    the tilte of position and institution applied for should be written in the subject of application letter. je kwa mfano inatakiwa kuandika iv seecretary, PSRS alaf application of office attendant at TBS au kunatofauti wakuu.tusaidiane
  10. S

    nisaidieni kuhusu tume ya ajira

    kuna kitu kingine tena wamesema kwenye application letter inatakiwa uonyeshe jila la taasisi.je ile anuani ya mwajiri unaandika ile ya tume ya ajira au ya taasisi inayoitaji wafanyaki
  11. S

    nisaidieni kuhusu tume ya ajira

    kwa mfano kuna nafasi kama 4 alafu ---- mikoa kama mitatu.je unaruhusu kumark kwenye envolop ni mkoa gani unataka??au una mark tu lile jina la taasisi husika. msada tafadhati
Back
Top Bottom