Search results

  1. sixty nine69

    Jinsi ya ku root HTC phone

    Wadau HTC yangu inatumia EDGE kwenye upande wa network sasa kunajamaa ameniambia kuwa naweza kuibadilisha ikatumia 3G kwa kui root Msaada wenu unahitajika kakita kufanya hii process kama inawezekana
  2. sixty nine69

    Faida, Hasara na Changamoto katika vikundi vya ujasiliamali Tanzania

    Habari. Siku hizi wa Tanzania tumepiga hatua kubwa sana katika ushirikiano kijamii na moja ya hatua iyo ni kujiunga pamoja ktk vikundi ambavyo vina jihusisha na shughuli za ujasilia mali. Lakini kuna shida moja mm ambayo nimeiona nayo ni ukosefu wa ujuzi juu ya swala la Faida, Hasala na...
  3. sixty nine69

    BlackBerry Bold for sale

    Blackberry Bold 9780 na. 9700 zina uzwa bei maelewano Call 0655803070 for nice negotiation Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  4. sixty nine69

    Naomba msaada Jinsi ya kuandika Project Proposal

    Kwa yoyote anae jua jinsi ya kuandika project Proposal atufahamishe mpangilio wake unatakiwa kuwaje (Content) Proposal Hii nikwaajili ya kuomba sponser ya Government katika project hii. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  5. sixty nine69

    Soko la Agriculture Engineers (waandisi kilimo) kwenye ajira

    Kwa wote wanao soma, na wafanya kazi katika sector hii ya uwandisi kilimo naomba tupeane taarifa juu ya mambo haya yafuatayo 1. Sehemu gani ni nzuri kwa ajili ya kufanyia field 2. Sehemu gani ajila zina patikana serikalini au makampuni binafsi, na kama ni makampuni binafsi je ni maka mpuni...
  6. sixty nine69

    Soil moisture sensor and water level sensor- Nanenane Mbeya

    Jamani mwenye ujuzi katika hayo mambo apo mawili naomba tupeane elimu jinsi gani hivi vitu vina weza kutengenezwa! Maana kuna project nataka kufanya na ivyo vitu vimo Nawasilisha kwenu waatalamu Sent from my BlackBerry 9780
  7. sixty nine69

    Ukulima wa shayiri(katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro)

    Shayiri nijamii flan iv ya ngano ambayo hutumika sana kutengenezea Pombe, zao hili lina uhitaji mkubwa sana apa nchini kwetu hasa kwa viwanda vya bia kama vile TBL and SBL, naomba mwenye uzoefu katika hili atupe taarifa kutokana na maswali yafuatayo 1.Jins linavyo limwa 2.Gharama zake za...
Back
Top Bottom