Search results

  1. sixty nine69

    Jinsi ya ku root HTC phone

    Mkuu unaweza kunipa namba yako ili tuelekezane vizuriii Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  2. sixty nine69

    Jinsi ya ku root HTC phone

    HTC T327T Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  3. sixty nine69

    Jinsi ya ku root HTC phone

    Wadau HTC yangu inatumia EDGE kwenye upande wa network sasa kunajamaa ameniambia kuwa naweza kuibadilisha ikatumia 3G kwa kui root Msaada wenu unahitajika kakita kufanya hii process kama inawezekana
  4. sixty nine69

    Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nairobi Kenya 29-5 october.

    Chasha ingekuwa poa sana kama ukienda uje utupe report kwa ajili ya yalio jili uko maana ss wengine tupo mikoa ya mbali
  5. sixty nine69

    Kifaa maalum kwa ajili ya kuhifadhia umeme wa mashine za saluni

    Unapatikana maeneo gani, ningependa kuja kukutembelea Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  6. sixty nine69

    Faida, Hasara na Changamoto katika vikundi vya ujasiliamali Tanzania

    Habari. Siku hizi wa Tanzania tumepiga hatua kubwa sana katika ushirikiano kijamii na moja ya hatua iyo ni kujiunga pamoja ktk vikundi ambavyo vina jihusisha na shughuli za ujasilia mali. Lakini kuna shida moja mm ambayo nimeiona nayo ni ukosefu wa ujuzi juu ya swala la Faida, Hasala na...
  7. sixty nine69

    Chama cha wafugaji wa kuku wa kienyeji

    Ni idea nzuri, ila mm nina penda kushauri kwa anejua faida na hasala, changamoto N.K za hiv vikundi aorodheshe apa ili maradi kila mtu ajue na ajipime mwenyewe kama anaweza kweli ku mudu kuwa kwenye kikundi Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  8. sixty nine69

    Biashara ya maziwa kenya kwa mashine maalum

    Even us TZ people we can do unique ideas but only I seen many People lack Seriousness, commitment, Hard working Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  9. sixty nine69

    Noah au Hiace inahitajika Dar es Salaam

    Ujaeleweka mkuu, unataka kununua gari au unataka kukodi gari Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  10. sixty nine69

    Ujenzi bora wa mabanda ya kufugia kuku wa kisasa na kienyeji

    Manufaa ya kuwajengea kuku banda la kisasa 1. Hulinda kuku dhidi ya Halimbaya ya Hewa 2. Huepusha kuku kudonoana 3. Huwa epusha kuku dhidi ya wezi na wanyama wakali 4. Heepusha kuku kuwa ha uzuni ENEO Unapochagua eneo la kujenga banda la kuku, hakikisha kuwa banda hilo halitizami upepo...
  11. sixty nine69

    Fursa za biashara nchi ya Thailand

    Good, but mwisho wa siku tuji ulize ss tupo wap. Mimi nadhani tunge enda kule kupata ujuzi jins wenzetu wanavyo fanya hizo production, Then tuje tu invest kwetu
  12. sixty nine69

    Kuku wa kienyeji

    Katavi nimeisha iona picha ya incubator, so kama unaweza kunielezea its good n nitakuelewa Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  13. sixty nine69

    Kuku wa kienyeji

    Unaweza kutuelezea jinsi ya kutumia incubator, maana ss wengine tuna isikia tu Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  14. sixty nine69

    Jifunze jinsi ya kutengeneza BACK-UP system (inveter) kwa ajiri ya nyumba yako

    Kwaiyo apo ni kwenda kubadilisha capacitor Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  15. sixty nine69

    Jifunze jinsi ya kutengeneza BACK-UP system (inveter) kwa ajiri ya nyumba yako

    Transistor booster yangu jana ilikuwa ina piga mziki ghafla ika zima n moshi ukawa una toka kwa ndani ya booster n booster ilikuwa ya mto sana. Je iyo inaweza kuwa imesababishwa na nini Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Back
Top Bottom