Search results

  1. Dijina40

    Nyumba Ndogo ya Kupanga Kwa Muda

    Natafuta kanyumba au upande wa nyumba unaojitegemea kwa ajili ya kupanga kwa mwezi 1 hadi 3 kwa mgeni anaekuja Dar kwa muda mfupi, chumba, sebule, jiko, choo na bafu au chumba kinachojitegemea na sebule. Sehemu ambayo mtu 1 anaweza kuishi vizuri bila muingiliano sana na wengine kama ina watu...
  2. Dijina40

    Inaudhii!!

    Kuna tabia inashamiri kama vile watu wameenda kusomea. Utashangaa gari ya mbele yako, iwe Daladala, Gari binafsi au Lori ama Basi, takataka mfano makopo ya juice, maji, mifuko ya rambo, magunzi ya mahindi yanatupwa barabarani kupitia madirisha ya gari. Nyie wa nyuma inabidi dereva akwepe...
  3. Dijina40

    Moja, Mbili, Tatu, Nne.....

    There are currently 482 users browsing this forum. (95 members & 387 guests) Digna37 MUREFU Michelle uporoto01 kibisavet Dena Amsi chuki Truenorth masssaiboi mndumsolo chetuntu zaklove Suleimana Buke pangalashaba geophysics IGWE MZEE SERENGETI Blaki Womani Shishi 212 mjanjamimi maishapopote...
  4. Dijina40

    Wachimbaji wa visima virefu

    Hello, Kama kuna wachimbaji wa visima virefu au wanaowafahamu nahitaji kuchimba kisima kirefu, tuwasiliane. Asante kwa msaada.
  5. Dijina40

    Vijana wa Shamba - Uaminifu

    Nimetafuta nimechoka. Ninaowapata wote wazuri wiki 2 - 4 za mwanzo baadae wanageuka wezi. Wameniibia miaka 2 yote nimekuwa na-invest shambani bila kupata kitu, mayai wanauza, kuku wanauza, vifaranga wakishachangamka wanauza. Shamba ni la wanyama hasa kuku na kanga. Nguruwe niliwaondoa baadae...
Back
Top Bottom