Inaudhii!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inaudhii!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Digna37, Jun 14, 2011.

 1. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Kuna tabia inashamiri kama vile watu wameenda kusomea. Utashangaa gari ya mbele yako, iwe Daladala, Gari binafsi au Lori ama Basi, takataka mfano makopo ya juice, maji, mifuko ya rambo, magunzi ya mahindi yanatupwa barabarani kupitia madirisha ya gari. Nyie wa nyuma inabidi dereva akwepe kuyakanyaga au ayakanyage. Tabia hii imekubuhu Dar, jamani, hivi watu wamefundishwa maadili gani? Nadhani ni bora kuyatupa hayo matakataka kwenye gari lenyewe, mwisho wa safari yatafutiwe sehemu maalum kuliko barabarani, tunachafua na kuharibu sana barabara. Tabia hii inanikeraaa! Naiona karibu kila siku nikiwa barabarani. Hivi tupelekwe shule gani jamani sie watu???
   
 2. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Charity begins at home my dear
  Usemi huu uko significant sana kwenye hili tatizo
  But we can all do something to stop this
  Anza na hapo kwako,make sure you teach your children the right thing
  ili by the time wanadrive wasitupe taka ovyo
  Wote tukifanya hivyo,tutaweza.
   
 3. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Yes daughter, Tatizo naona mimi na wewe tunafanya inavyotakiwa na tunawafundisha wanetu vema (ninao 2 tu, I wish shule za msingi kama 50 wote wangelikuwa wanangu niwafundishe toka chekechea). Na watu kama mimi na wewe tuko wachache sana ukilinganisha na jamii isiyoelewa hayo. Shida ni hiyo jamii kubwa ambayo haielewi na imelemaa kutokana na malezi, kifanyike nini kuisaidia maana mimi kama mimi na wewe kama wewe tunaelewa cha kufanya. Ukizungumzia jinsi ya kuiokoa hiyo jamii au vizazi vijavyo itasaidia zaidi.
   
 4. f

  fukunyungu JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 726
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  kuna moja kali ilinitokea, nilitupiwa used c**ndm na watu waliokua gari ya mbele aina ya noah, nikachoka, ilikua mida ya sa nne asubuh! Loh!
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Nadhani walimalizia cha mwisho kwenye gari, si unajua Dar ukitaka kuwahi ofisini lazima ukatize jukumnu la ndoa la asubuhi?!. BTW inaboa.
   
Loading...