Search results

  1. geraldyusuf

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Nenda facebook na type qnet india utaikuta.type qnet tanzania utaikuta type qnet kenya utaikuta.type qnet dubai utaikuta.type qnet kenya utaikuta nenda kigali kuna ofisi huyo hajui dunia inakoelekea.
  2. geraldyusuf

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Huyo hajui kitu mpuuzeni hajui kampuni ya qnet ni kubwa duniani.
  3. geraldyusuf

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Kama hujui kitu bora kukaa kimya unawezapost kitu cha uongo ukaonekana jinsi gani ubongo wako hauna kitu.pia yawezapelekea watu kukuona ni jinsi gani hujui dunia inapo elekea dunia yote inaondoka off line na kwenda online wazo lako hilo kuhusu qnet ni potofu na naomba uweke namba yako ya simu...
  4. geraldyusuf

    Fatma Karume amshtaki Polisi aliyemzonga Mahakamani, adai fidia ya bilioni moja

    Ni haki yako ya kisheria na tulishangaa askari wa kiume kufanya kitendo hicho kwa mwanamke nafikiria itakuwa fundisho kwa askari kutumia mabavu na kudhalilisha raia. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. geraldyusuf

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Matusi ya mkapa yamenifedhehesha sana kwa mtu mashuhuri kama yule aibu.
  6. geraldyusuf

    Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

    100%ni matakwa yake kama mtanzania mwingine.
  7. geraldyusuf

    ICC na viongozi wa Africa: Kuna haki hapa?

    Mimi naonelea icc ni ya muhimu kwa africa kwa sababu za msingi kwamba demokrasia africa bado ina safari ndefu sana.pili elimu na wananchi wengi hawajui haki zao za msingi na kuwa waoga wa kudai haki zao kwa sababu afrika ukidai haki siku hizi viongozi wamekuja na mtindo mpya wa kudidimiza...
  8. geraldyusuf

    Muuaji wa Padri Evarist Mushi Akamatwa kwa msaada wa picha iliyochorwa na FBI

    Kama ni wa ukweli jina la mungu liimidiwe
  9. geraldyusuf

    Mwakyembe: Marufuku abiria Kuchimba dawa njiani

    hapa nafikiri anapaswa kutumia busara na kuhamasisha wanavijiji kujenga vyoo kandokando ya barabara kuuu ili kutoa huduma hiyo kwani atakuwa hawatendei haki abiria wa mabasi kwa sababu kuna mabasi mengi hutembea mwendo mrefu bila kupiti kwenye sehemu ya huduma na wakati mwingine kuna dharula.
  10. geraldyusuf

    Cctv camerals

    Hiyo cct system ni linux na siyo windows haipati. Virus kwa urahisi
  11. geraldyusuf

    Cctv camerals

    Kamera za ulinzi za cctv zinauwezo wa kurekodi matukio kwa masaa ishiri na nne wiki mpaka miezi inategemea na ukubwa wa hard disk utakayo weka kwenya kingamuzi unganishi yaani dvr. Digitavideo recorder ambayo huchukua picha na kuziweka kwenye kumbukumbu kwa ajili ya. Mtumiaji kuweza kupata...
  12. geraldyusuf

    Report ya Ufisadi iwekwe wazi - Rais Kikwete

    Nnapenda kumpongeza raisi wa jamuhuri ya muungano ya tanzania kwa nia yake njema kupambana na rushwa hili limejitokeza wazi baada ya kutaka ripoti ya rushwa itolewe wazi kwa wananchi na kuondoa ukiritimba wa habari muhimu zinazo wahusu wananchi ambao ndiyo wadau wenyewe kutokujadili matatizo yao...
  13. geraldyusuf

    Cctv camerals

    Standard care co ltd po box 694 mwanza tanzania,tel +255-754-808700 tunauza vifaa vyote vya ulinzi cctv cameras dvrs,digital video recorders,baluns,connectors,detector,security guard patrol monitoring systems,etc.
Back
Top Bottom