Cctv camerals | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cctv camerals

Discussion in 'Matangazo madogo' started by geraldyusuf, May 8, 2010.

 1. geraldyusuf

  geraldyusuf Member

  #1
  May 8, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Standard care co ltd po box 694 mwanza tanzania,tel +255-754-808700 tunauza vifaa vyote vya ulinzi cctv cameras dvrs,digital video recorders,baluns,connectors,detector,security guard patrol monitoring systems,etc.
   
 2. SOARES

  SOARES Member

  #2
  Nov 27, 2010
  Joined: Jul 6, 2007
  Messages: 89
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Mkuu unaonaje ukifafanua kidogo kuhusu biashara yako, kwa kueleza vifaa ulivyonavyo, vinavyo fanya kazi walau kwa kifupi, bei, na gharama zingine zinazo ambatana na hiyo mitambo. Namna hii unaweza pata wateja
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Hiyo biashara inalipa sana kwa sasa. kUWA SIRIAZI TU KUWEKA DETAILS za kutosha kwa systems mlizonazo na gharama zake-ukiambatanisha na vielelezo!
   
 4. geraldyusuf

  geraldyusuf Member

  #4
  May 15, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Kamera za ulinzi za cctv zinauwezo wa kurekodi matukio kwa masaa ishiri na nne wiki mpaka miezi inategemea na ukubwa wa hard disk utakayo weka kwenya kingamuzi unganishi yaani dvr. Digitavideo recorder ambayo huchukua picha na kuziweka kwenye kumbukumbu kwa ajili ya. Mtumiaji kuweza kupata kumbukumbu za nyuma pia kamera. Zetu zina uwezo wa kurekodi bila mwanga wakati wa usiku kwa sababu zimeunganishwa na ainafulani ya mionzi isiyoonekana kwa macho yaani infrared.mition detectors unaweza usiwe na mbwa wala mlonzi nyumbani kwako ukanunua detector ambazo. Ukiwasha hakuna kitu cha kukatiza. Kwenye fensi yako na kama kuna mwenendo wowote nje ya nyumba alarn italia kwa sauti kubwa kukujulisha kwamba nje si.shwari pia mtambo wake unawekewa sim kadi ya gsm itakupigia simu na kukutumia sms kukujulisha kwamba nyumbani kwako kuna matatizo kwahiyo ni rahisi kwako kupanga mkakati wa kuokoa mali zako lakini katika cctv unaweza kuunganisha na intaneti na ukaweza kuziona kamera zako hata ukiwa mbali nanyumba yako hata nje ya nchi.
   
 5. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  du hii ni kali!hebu tujuze zaidi,inakua ni kiasi gani na installation yake inakua ni kiasi gani?kwa mtu ambaye yupo Dar es salaam.hiyo ni kiboko ya vibaka wa kitaa.
   
 6. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kweli, japokuwa wezi nao watakuwa na "anti-virus" yake!
   
 7. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Hakuna anti- virus ya cctv au intruder...
   
 8. geraldyusuf

  geraldyusuf Member

  #8
  May 18, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Hiyo cct system ni linux na siyo windows haipati. Virus kwa urahisi
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,903
  Trophy Points: 280
  this is good news! wekeni bei zenu basi
   
Loading...