Search results

  1. grey

    Edward leo atafanya uziduzi wa kanisa Mwanza leo 16/2/2014

    Ndani ya CCM wapo watu wengine wazuri sema hawajapewa nafasi tu. Kwa mfano sijaona ukimtaja jembe Mwakyembe hapo. Usiangalie juu juu na ku-conclude hamna mtu mwingine ndani ya CCM, wakati ndio chama chenye watu wengi zaidi katika nchi hii.
  2. grey

    Establishment of Private Intelligence Agency in Tanzania

    Mkuu NGULI wazo lako ni zuri. Hebu wadau wa sheria fungukeni basi tuone jambo hili limekaaje?
  3. grey

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    Mpokee Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako and and be free. Vinginevyo pasipo yeye tuko kwenye risk kubwa sana as anything can happen any time.
  4. grey

    Lowasa asali Nativity Zanzibar kukagua uhai wa makanisa

    Yeah, nashukuru mkuu. Pamoja sana
  5. grey

    Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja kiwanda cha Afro plus Usiku wa Kuamukia leo!!!

    Ni muda mfupi tu umebaki tutajua nani kafungwa kati ya mimi na wewe...He is surely coming, Jesus is coming. Mungu akusaidie...
  6. grey

    Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja kiwanda cha Afro plus Usiku wa Kuamukia leo!!!

    Ni swala la muda tu, tutajua wa nani ni Mungu aliye hai...
  7. grey

    Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja kiwanda cha Afro plus Usiku wa Kuamukia leo!!!

    Uzuri kuna siku inakuja haya yote yatadhihirika. Let us wait and see nani ni nani! That day is not very far it is very close, He is coming, Jesus is coming.
  8. grey

    Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja kiwanda cha Afro plus Usiku wa Kuamukia leo!!!

    Kusoma Biblia kama elimu hataufike level ya mwisho wa elimu ya duniani sio kumjua Mungu. Tunamjua Mungu kwa neno lake plus ufunuo wa Roho Mtakatifu, na inaanza na Imani. Muungano kati ya Neno na Roho Mtakatifu ni vitu muhimu sana. Mungu akijifunua kwako ndipo utaweza kumjua lakini vinginevyo...
  9. grey

    Lowasa asali Nativity Zanzibar kukagua uhai wa makanisa

    El ni public figure, katika harambee au kuchangia kazi ya Mungu muumin anataja kiasi anachotoa au anacho ahidi kutoa kulingana na uwezo wake. Katika kusaidia kazi ya Mungu hakuna siri ndugu. Kasome vizuri hiyo Biblia kuna mahali katika zaburi inasema juu ya kusimama na kufanya jambo lenye...
  10. grey

    Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja kiwanda cha Afro plus Usiku wa Kuamukia leo!!!

    Kwa Mungu kila kitu kinawezekana kwake yeye aaminie. Unaomba Mungu anafunua siri nyigi zilizo jificha. hakuna longo longo kwa Mungu Things are so obvoius. Come i will show you how to pray.
  11. grey

    Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja kiwanda cha Afro plus Usiku wa Kuamukia leo!!!

    I believe in God in trinity. Mwingira is the servant of God, so i believe in all the three you mentioned all starting with capital letters not as you wrote..
  12. grey

    Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja kiwanda cha Afro plus Usiku wa Kuamukia leo!!!

    Mkuu kama ungesoma post zangu vizuri nadhani ungeelewa. go back and read them all. I have no answer for this kind of question. Nilichoelewa tu ni kwamba wewe una uhusiano mzuri sana na shetani, maana ndiye anayependa kudhalilisha watu na habari mbaya za watu. Hivi hawa jamaa huwa hawana mema?
  13. grey

    Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja kiwanda cha Afro plus Usiku wa Kuamukia leo!!!

    Kumjua mtumishi wa mungu ni ufahamu. Sio kila mtu anaweza akamjua mtumishi sahihi wa Mungu. unahitaji kusoma Biblia kikamilifu upate picha. Kasome vizuri wewe ndio uje kwangu things are very clear.
  14. grey

    Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja kiwanda cha Afro plus Usiku wa Kuamukia leo!!!

    I said whether it is true or not I don't know and I don't need to know all that. Peleka mahakamani ndio ushahidi unahusika. Ushahidi kaa nao wewe, sihitaji kuuona (keep it for yourself). Ni hivi Mwingira ni Baba yangu wa Kiroho. Siwezi kukaa kimya mtu anapo mdhalilisha. ni tabia ya shetani...
  15. grey

    Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja kiwanda cha Afro plus Usiku wa Kuamukia leo!!!

    Kuna sehemu nimejibu vema kabisa hili swali. Nadhani wewe ni mjinga na umetumwa kumchafua Mtumishi wa mungu. I know for sure that you shall see the consequences of the words you spoke, and realize what I just said in the process of time. Ni shetani na mtu mjinga pekee ndio wanao hukumu watu...
  16. grey

    Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja kiwanda cha Afro plus Usiku wa Kuamukia leo!!!

    Imeandikwa sio kila asemaye Bwana Bwana... atauona ufalme wa Mungu. pia imeandikwa patakuwepo na manabii wa uongo...muwachunguze. utamchunguza vipi nabii au mtumishi wa Mungu. Kwa akili na kusilikiliza watu wanaseman nini hutakaa uweze. ni kwa kuomba Mungu akuonyeshe na mungu ni mwaminifu...
  17. grey

    Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja kiwanda cha Afro plus Usiku wa Kuamukia leo!!!

    They are not at par and they will never be. Fuatilia vizuri Mitume wote kila mmoja alikuwa na kusudi lake ambalo lilikuwa tofauti na mwingine. ipo kazi ambayo kila mtume na nabii alifanya na wanaendelea kufanya. Rank ya ubora wa mtumishi wa Mungu inategemeana na ubora wa kazi na jinsi...
  18. grey

    Lowasa asali Nativity Zanzibar kukagua uhai wa makanisa

    This man is very smart/intelligent. Anajua kulazimisha baraka kwa maandiko. He bless the church to bless others. This man can become a president. Watu wengi wanafikiri kuwasaidia masikini ndio mpango mzima. Yesu alisema masikini mtakuwa nao siku zote. Masikini hawatakaa waishe watakuwepo siku...
  19. grey

    Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja kiwanda cha Afro plus Usiku wa Kuamukia leo!!!

    Kuna kitu Bwana Yesu alisema ninyi si wa ulimwengu huu, ulimwengu hauwatambui. kimsingi ulimwengu umejawa na yule mwovu media and everything viko covered na shetani. ni rahis watu kutetea uovu kuliko kutetea haki. Reason soma signature yangu hapo...So obvious, the problem of being controlled by...
Back
Top Bottom