Search results

  1. L

    Shule ya English Medium imegoma kumuhamisha mwanangu. Hatiani kukosa mtihani wa darasa la nne

    Yaani maelezo yote haya unayoelezea malalamiko kibao na bado umeshidwa ata kutaja jina la hiyo shule (English medium) ambayo wamekataa kuwahamisha wanao!!! Sasa unaomba msaada upi wakati unashiriki kumficha mtuhumiwa wako? Mie naona hii ni story kama story nyingine tu ila story hii imekosa mtu...
  2. L

    NECTA imedanganya umma kidato Cha pili matokeo ni mabaya mno

    Nadhani kabla haujasema NECTA imedanganya ungejaribu kujumlisha idadi ya hao waliofail kuona kama inafanana na idadi iliyotangazwa na NECTA au hapana. Vinginevyo na utakuwa ni mpiga kelele tu
  3. L

    NECTA rudisheni utaratibu wa kutoa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne na cha sita kwa majina kilichotokea si kigeni mitaani huku

    Lakini Mkuu! Selection ya kwenda A level au vyuo uwa inatoka kwa majina. Hivyo hii ya kwenda kuripoti kwa jina la mtu mwingine halitamalizwa kwa NECTA kutoa matokeo yanayoonesha majina. Labda ungeshauri hao wanaosahau majina yao kama huyo binti wawe wanagongwa muhuli wa jina lake kwenye paji la...
  4. L

    Kubadilisha gia angani kwa NECTA na maajabu Kemobos

    Mtoa mada hiyo Twibhoki haukuona kwamba matokea yaliyotolewa ni ya mwanafunzi mmoja tu na mengine yamezuiliwa??? Unadhani itakuwa fair kulinganisha matokeo ya mwanafunzi mmoja na shule yenye wanafunzi 100+???
  5. L

    Sikubaliani na pendekezo la Waziri wa Fedha kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa arudishwe kwenye mshahara wake wa awali

    Ni kweli ila najiuliza kwa wale wanaokuwa wamepata uteuzi toka kwenye sekta binafsi, au walikuwa wanafanya shughuli zao Kama Msendo, hao watalipwa mshahara upi?
  6. L

    Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

    Hivi wanaposema 'Mfumo dume' manake ni kuwa wakiondolewa hao COVID 19 watakaochukua nafasi zao wanakuwa ni wanaume? au mie ndio sijaelewa!!!
  7. L

    Tetesi: Mtumishi wa NSSF alilipwa milioni 26 za uhamisho akitokea HQ Posta kwenda ofisi za NSSF Kinondoni Dar

    Kwa hiyo alihama kutoka wilaya ya Ilala kwenda wilaya ya Kinondoni? Kwani taratibu za uhamisho zinasemaje? Anastahili kulipwa nini anapohama wilaya?
  8. L

    Siridhiki na utendaji wa Baraza la mitihani la Taifa, NECTA

    Kwa sasa mtihani wa mwisho una 70% na ni course work. Tatizo ninaloliona kwenye pendekezo lako ni pale ambapo shule X itafundisha topic moja na shule Y ikafundishwa topic 10 alafu wote wakatungiwa mitihani na walimu wao kwa kuzingatia topic walizosoma na ndio ziamue hiyo 70% na mtihani huo...
  9. L

    Siridhiki na utendaji wa Baraza la mitihani la Taifa, NECTA

    Inawezekana ukawa sahihi lakini kazi ya NECTA ni kufanya tathmini kwa kuangalia kigezo cha mitihani na ndio maaana wanaitwa 'BARAZA LA MITIHANI TANZANIA'. Sasa kama unashauri zifanyike rank za shule kwa kuangalia vigezo vingine kama vile Usafi, michezo na nidhamu wanaweza kufanya watu wengine...
  10. L

    Kwanini academic certificates zinafanyiwa verification kwa wataalam wa sheria badala ya taasisi husika ya elimu kama RITA wafanyavyo kwa vyeti vyao?

    Mkuu wanasheria hawafanyi 'verification' (Uhakiki), wanachofanya 'certify' (kudhibitisha). Kama haujagundua tofauti hapo niulize tu!
  11. L

    Wahudumu wa baa na ufanisi wao kazini

    Fafanua kidogo mkuu ni mambo yapi hayo?
  12. L

    Si sahihi kwa waliopata daraja 0 kwa kidato cha nne na sita kutokupewa vyeti kutoka NECTA

    Ambayo ni sawa na Notification of result wanayotoa NECTA kwa wenye "0"! Bila shaka na hivyo provisional result sio cheti!
  13. L

    Si sahihi kwa waliopata daraja 0 kwa kidato cha nne na sita kutokupewa vyeti kutoka NECTA

    Hivi mwanafunzi wa chuo kikuu anapofeli ata akiwa mwaka wa mwisho anapewa cheti gani vile? Naomba unikumbushe Bro!!!
  14. L

    Singida: Mkurugenzi(DED) wa Halmashauri ya Itigi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi

    Labda alimaanisha "Shambani mwa Bwana"!!!
  15. L

    Kwenu Board ya Uhasibu na Ukaguzi(NBAA)

    Mkuu! Nadhani kuna taarifa ambazo haujazielewa vizuri! Mie kwa ufahamu wangu ni kuwa mtu yeyote anaweza kuwa mwanachama wa NBAA isipokuwa hao wanachama wanatambulika kwa makundi tofauti. Kuna wanachama tu, wanachama ambao ni watahiniwa (candidates), Wanachama ambao wamepata CPA chini ya miaka...
  16. L

    NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

    S0508/0014 F 26 IV CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'C' LIT ENG - 'D' BIO - 'D' B/MATH - 'F' COMM - 'D' B/KEEPING - 'D'
  17. L

    NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

    S2141/0025 F 22 III CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'D' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'D' S3237/0031 F 26 IV CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'F' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F'
  18. L

    NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

    NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA CSEE 2017 EXAMINATION RESULTS S1779 MRIJO SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0; DIV-II = 0; DIV-III = 2; DIV-IV = 30; DIV-0 = 25 CNO SEX AGGT DIV DETAILED SUBJECTS S1779/0001 F 35 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' E/D/KIISLAMU - 'F' KISW - 'F' ENGL...
Back
Top Bottom