Search results

  1. Wonderland Management

    Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

    Yawezekana ana njia nzuri ya kulitatua. Tusikose imani nae. Vijana wawe watulivu.
  2. Wonderland Management

    Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

    Unajua shida kubwa ni kwamba private sectors ime athirika sana. Watoa ajira nyingi huwa ni hawa private sectors. Kuyumbishwa kwao kwa sababu kadhaa wa kadhaa kuna fanya wengi wategemee ajira kutoka serikalini, ambazo kiukweli huwaga si nyingi sana. Serikali wao ndio suluhisho la mwisho na sasa...
  3. Wonderland Management

    Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

    Sasa msumari mwingine kuna mjukuu wa jaji Lubuva naye yumo.
  4. Wonderland Management

    Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

    Usisahau David Hezron Mwakyembe naye yupo
  5. Wonderland Management

    Zitambue 'Code' mbali mbali za Watu wanao Cheat katika Mapenzi

    [emoji26] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  6. Wonderland Management

    Ni nani hasa alihusika na Kifo cha Sokoine?

    Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi amefanya mengi sana ya kukumbukwa hasa katika sekta ya uchumi wa Tanzania. Ni ukweli usio pingikia yeye ndio ali ruhusu daladala zianze kufanya kazi Dar Es Salaam na sio UDA tu, pia ali ruhusu biashara zifanyike na watu waka jipatia mali na fedha...
  7. Wonderland Management

    Mbowe una option 2: Kujiuzulu au kuwatimua Lowassa na Sumaye ili chama kirudi kwa wananchi

    Kitu cha msingi si kufukuza mwanachama yeyote. Kitu cha msingi ni kujua wapi wana kosea as Chama na kujirekebisha. Pia kujua nini wananchi wana hitaji hasa katika majimbo yao na sehemu zote za nchi katika kipindi hiki cha miaka 4 iliyo baki kufikia Uchaguzi mkuu. CHADEMA wana takiwa waache mambo...
  8. Wonderland Management

    Ni nani hasa alihusika na Kifo cha Sokoine?

    Nashauri mwenyw uzi huu pia pitia kitabu cha Mwl. Julius K. Nyerere cha Uongozi Wetu na Hatima Ya Tanzania utaona siri hizo Mwalimu yeye mwenyewe alivo ziweka hadharani. Pia soma kitabu cha Pan- Africanism or Pragmatism? Lesson of Tanganyika- Zanzibar Union cha Issa G. Shivji.
  9. Wonderland Management

    Ni nani hasa alihusika na Kifo cha Sokoine?

    Unajua Tanzania ina siri nyingi sana. Sana. Hata ukiacha kifo tata cha Sokoine, kifo cha Karume pia ni tata, Mapinduzi ya Zanzibar yenyewe haya heleweki, kuondoka kwa Kambona, kupotea kisiasa kwa Bibi Titi, kufa kwa akina Sykes, mengi mengi ni siri. Na hii yote ni kwasababu Nchi kama Nchi yeyote...
  10. Wonderland Management

    Uteuzi wa wabunge: Kuvunja katiba au kujaribu kuivunja,adhabu yake ni nini? Inaishaga hivyohivyo tu?

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ana mamlaka na nguvu ya kuteua wabunge 10 tu. Katiba ya Nchi ndio ina mpa hayo mamlaka.
  11. Wonderland Management

    Kumbe Lowassa ndiye aliyepeleka mradi wa maji kwenye jimbo la Chalinze!

    Kamuendelezee wanao maana hiyo story haina mashiko
  12. Wonderland Management

    Samweli Hussein Katoli, kati ya wazee wachache waliobaki na busara zao. Kingunge?

    Bwana Yesu alipo kuwa yungali Duniani nasi alisema alipo ulizwa na wanasheria alipo kuwa Hekaluni Yerusalem kuhusu chapa ya sarafu ambayo ili kuwa na picha ya Kaisari( Ceasar ) Ambaye ali kuwa Mfalme Wa Roma wakati huo, na alijibu hivi " Ya Kaisari mpe Kaisari, na Ya Mungu mpe Mungu" Ninge...
  13. Wonderland Management

    Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    Kadi #7 mi nikajua ana fuata baada ya Jk Nyerere na Karume. Kumbe 7. Enzi hizo kulikuwa na akina Kambona ambaye Ali enda na Nyerere 1961 kwenda kuomba uhuru UK na bado aka ondoka CCM na CCM ikabaki. Na Kambona ni kadi #4 sasa wewe #7 una mtingisha nani.
  14. Wonderland Management

    CHADEMA Chukueni hatua dhidi ya Dr. Slaa na Mzee Mwanakijiji haraka sana

    Labda niku jibu hivi unapo anza kuongea siasa za CHADEMA utu ambie kama ww ni msemaji wao? Pili kabla ya kuongelea unao waita wasaliti ina maana huja ona Usaliti alio ufanya Mbowe kumleta Fisadi na wenzie Ndani ya CHAMA na kuharibu the bottom stone ya CHAMA ambayo ni kupigana juu ya ufisadi...
  15. Wonderland Management

    Ushauri wa bure kwa Rais Kikwete, muombe msamaha Lowassa kabla ya October 25!

    Hahahaaaa Kwa kicheko cha Kikwere. Uombwe Msamaha KWANI WEWE NANI?
  16. Wonderland Management

    Kazi Kweli Kweli: Nani Amebadilika - Lowassa, Mimi au Wewe?

    End of Time wote uta shangaa wame ipigia kura CCM
  17. Wonderland Management

    Kazi Kweli Kweli: Nani Amebadilika - Lowassa, Mimi au Wewe?

    Chagua CHAWAMA AU TLP AU ACT WAZALENDO AU NLD
Back
Top Bottom