Search results

  1. L

    Lowassa aselebuka, wapi Nape?

    Habari zilizoenea huko katika Uwanja wa Mapambano wa Arumeru Mashariki ni kwamba Katibu wa Ueneze na Itikadi bwana Nape Moses Nnauye Alifurahia Pale Makundi ya Wananchi yalipomzomea Waziri Mkuu Aliyejiuzulu bwana Edward Lowasa. Nape Ambaye alishindwa Kuzuia Furaha yake ( Hasa alipokuwa na...
  2. L

    Kafulila na Zitto wanaivuruga NCCR - Moses Machali

    Chama cha Mapinduzi sasa kinaelekea kutimiza lengo lake la kukimaliza Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mpango huo unaoonekana kusukwa kifundi ulikuwa na lengo la kuwahasimisha Viongozi wawili wenye Mvuto ndani ya Chama hicho yaani Zitto Kabwe na Freeman Mbowe. Mpango huo ulikuwa...
  3. L

    Mfumo KRISTO Umemponza Rostam Ndani ya CCM?

    Tumethubutu, Tumeweza, Tunasonga Mbele japo kwa Mwendo wa Kinyonga ila Tutafika
  4. L

    Mfumo KRISTO Umemponza Rostam Ndani ya CCM?

    Mkuu Nime connect Dot tu Mawazo yangu yaweza kuwa Sahihi ila Maadam kuna Makada wa CCM hapa Rejao, FF, Malaria Sugu na wengine watakuja Kulitolea Maelezo
  5. L

    Harusi ya Nape week ijayo Dar es salaam

    Mchaga huyo ameona Oportunity, Msela Safari Kibao
  6. L

    Harusi ya Nape week ijayo Dar es salaam

    Nape anaoa Mchagga? Niemshtushwa Kidogo
  7. L

    Mfumo KRISTO Umemponza Rostam Ndani ya CCM?

    CCM walitangaza Kuvuana Magamba Kukinusuriu Chama, kwa Kuanzia Wakawapoint wananchama wake Watatu kwamba Ndiyo Magamba Ndani ya Chama na kwamba wakijivua Uanachama pamoja na Nafasi zao zote basi Chama Kingerudi enzi za Kambarahe Nyerere yaani " Chama Cha Wakulima na Wafanyakazi". Ikatjitokeza...
  8. L

    Jaman Lulu ana mambo!

    Ukiipata ni PM maana Hapa Jamvini Warozi Kibao hawakawii kwenda Front
  9. L

    Jaman Lulu ana mambo!

    Malipo gani tena Mamii? Mashefa wakitoa huwa hawageuki nyuma LoL! Nahisi Kama mimi ndiyo nitakayekatoa katika Hali kaliyonayo sasa maana kanahitaji zaidi Ushauri sasa mimi ni Mtaalam wa Mambo hayo
  10. L

    Jaman Lulu ana mambo!

    Madam T kama una contact za hako katoto kaambie kani PM mimi nitakapa Nauli ya Kwenda na Kurudi Huko Majuu na Malazi pamoja na Pesa za Kupiga misele kipindi chote katakapokuwa kanamtafuta huyo Msela. Kaambie hakapaswi kupata Shida wakati Washefa Wa Mujini to
  11. L

    Millya: Nape ni vuvuzela na saratani ndani ya CCM

    Regardless ya Elimu yake but he is making a lot of sense ukimlinganisha na Nape
  12. L

    Nape waombe radhi serikali ya mapinduzi Zanzibar, adai Seif alikubali muafaka sababu ya njaa zake!

    Mkuu kwani Huoni Maalim Siku Hizi ananyoa Ndevu ha ha ha Na Anang'ara kama ana miaka 18 Unachecha na Mvinyo wa Ikulu nini Mkuu
  13. L

    Mkutano wa CCM Mbeya

    Mkuu nina wasiwasi kama ulikuwepo uwanjani na nina wasiwasi kama ulishuhudia maandamano na mwisho kama ulikaa mpaka mwisho unaweza kutuambia yale mafuso, malori, basi mbili, coaster kadhaa na pickup ziliondoka na nini na zilipeleka wapi
  14. L

    Mkutano wa CCM Mbeya

    Yote uliyoyazungumza naweza kabisa kuyakubali ila kwenye hiyo namba utanisamehe
  15. L

    Mkutano wa CCM Mbeya

    Nape amezungumzia kisa cha Maalim seif, amesema baada ya kuona Njaa imemzidi ikabdi aombe muafaka na CCM wakampa Umakamu wa rais akasema baada ya seif kupata Cheo sasa anapendeza, anang'ara ha ha ha dongo kwa CUF
  16. L

    Mkutano wa CCM Mbeya

    Mkutano umemalizika salama na nilifanikiwa kuhudhuria katika mkutano huo Mkutano ulitanguliwa na Maandamo ambayo kwa asilimia kubwa yaliwashirikisha Wana CCM wengi kutoka Ileje,Mbozi, Chunya na maeneo ya Pembezoni mwa mji ambao walisombwa na kuletwa Mbeya na Malori na wale wachache waliletwa...
  17. L

    Ridhiwani CHADEMA, Wasikutisha, ni wakati wako Kutafuna Nchi

    Mkuu sina shaka utakuwa Umepitia St. Kayumba au Miburani Academy, maana kama huelewi hata maana ya Presidential Material napata shida sana kuendelea kukujibu
  18. L

    Ridhiwani CHADEMA, Wasikutisha, ni wakati wako Kutafuna Nchi

    Mkwara wa Mende kuangusha Kabati huo wengine wanasema Dua la kuku
  19. L

    Ridhiwani CHADEMA, Wasikutisha, ni wakati wako Kutafuna Nchi

    Mkuu Mbona Vijana wengi tu Matajiri na Hamuwasemi, akina Mohamed Dewji ni Vijana na ni Matajiri au kwa Sababu Ngozi Nyeupe? Acha kulalama Mkuu Fanya Kazi na Ukubali kwamba Dogo kwa Umri wake Keshakupiga Bao kubwa sanaaaaaa
Back
Top Bottom