Search results

  1. M

    Chuo kikuu josiah kibira cha bukoba kimejaa ujinga na ukabila

    Kuanzia uongozi wa juu wa chuo kuja chini wamejaa wahaya tuu.jambo linawatesa wanachuo kwa kutopata mahitaji yao kwa wakati mwafaka,kwani wanafanya mambo bila kujali wakijua kuwa hakuna atakaye wachukulia hatua yoyote.kisa ni undugu na ukabila[tuseme wanalindana]
  2. M

    Diwani kata ya MAGARA iliyoko wilaya ya BABATI ashindwa kuleta maendeleo

    Tangu ufanyike uchaguzi mkuu 2010 diwani huyu aitwaye Mwl Juma,amekuwa akipiga propaganda kwa kuwahadaa vijaa na kukaa nao vijiweni.Kimsingi alitakiwa ahamasishe vijana kufanya kazi.Pia katika kata hiyo ya MAGARA kumekuwa na wimbi la majambazi tatizo linalofanya watu waishi bila amani.
  3. M

    GPA SYSTEAMAa

    Inakuwaje TCU iwanawapa uhuru vyuo vikuu hapa nchini kujipangia kuwa PASS ianze na kuendelea? Mfano mahususi ni vyuo vya watu binafsi kama SAUTI,JOSIAH KIBIRA NA MAKUMIRA ambapo 'C' HUANZA NA 50 angali wakijua kuwa hawana resourse za kutosha kuhakikisha kuwa wanafunzi wanafikia alama hizo za...
  4. M

    Ziwa Manyara chanzo cha mapato kata ya Magara

    Kipindi hiki cha masika watu wamiminika kwenda ziwani kutafuta samaki ili kujipatia kipato hasa akina mama kutoka vijiji mbalimbali
  5. M

    Chuo kikuu josiah kibira bukoba na mazingira magumu

    Tcu tunaomba mtusaidie maana hapa tunapata hali ngumu ya kitaluma,no quality of library na mengineyo mengi
Back
Top Bottom