Search results

  1. Allan Harold

    Watu wasiojulikana wamvamia na kumkata mapanga dereva wa Mbunge wa Tarime, John Heche

    Jana majira ya saa mbili usiku dereva wa mbunge Mh. John Heche anayejulikana kwa jina la SUEZ DANIEL MARADUFU alivamiwa na watu wasiojulikana na kushambuliwa kwa kukatwa katwa na mapanga kichwani na hali yake si nzuri, anaendelea na matibabu kwenye hospitali ya Bomani Tarime. Ofisi ya Mbunge...
  2. Allan Harold

    Mabandia na vikaragosi kasuku katika enzi za udikteta

    BAADA YA KUSOMA MAKALA HII NA KUPENDEZWA NAYO NIMEONA NI KOPI NA KUILETA KWENU NANYI MUISOME . MWANDISHI NI . Ahmed Rajab ......................................................................................................................................... VIROJA vya...
  3. Allan Harold

    IJUE SHERIA: Namna ya kumsaidia ndugu yako kupata dhamana Polisi

    DHAMANA NI NINI? Dhamana ni hatua ambayo mtuhumiwa wa kosa fulani huachiwa huru kwa muda, ili kusubiri hatua za kufikishwa mahakamani, au kama tayari amefikishwa mahakamani husubiri kuendelea na kesi kwa siku zijazo. Kwa hiyo, ili lije suala la dhamana ni lazima uwe umetuhumiwa polisi au...
  4. Allan Harold

    Matitizo ya ajira, Nini kifanyike?

    KUMEKUWA na malalamiko mengi juu ya ukosefu wa ajira katika jamii yetu siku hizi. Hata hivyo, malalamiko haya huishia katika kuwaelekeza hao wasio na ajira kujiajiri. Kwa upande mwingine kuna watu wengi ambao wamekosa kazi na wengine kuacha kazi kutokana na kukosekana kwa taarifa muafaka za...
  5. Allan Harold

    Demokrasia ni kupinga, kupingwa, kukataa na kukataliwa

    UKIAMUA kupinga kitu uwe tayari kupingwa na wewe. Msimamo wowote unaouchukua kinyume ama na msimamo wa wengi au ule unaoonekana kukubalika na wengi si lazima ukubaliwe na wengine – hata kama ni sahihi kwa kiasi gani. Katika demokrasia haki ya kukataa msimamo wa wengi ni alama kuu ya...
  6. Allan Harold

    Ipo siku, uhuru wa fikra utawang’oa madikteta

    DK. Mahathiri Mohammed alikuwa Waziri Mkuu wa Malaysia kwa miaka 22. Hata hivyo, haikuwa ni kazi nyepesi kwake kufikia nafasi hiyo ya juu kabisa ya uongozi nchini humo, alipitia mitihani mingi na mikubwa. Nitaieleza kidogo. Mahathir alikuwa muumini mkubwa wa usawa wa kiuchumi kati ya watu wenye...
  7. Allan Harold

    Tanzania na Ushirikishwaji wa Wananchi katika Maendeleo ya Jamii

    Katika maendeleo yoyote yale ili yawe endelevu na yenye manufaa kama kusudio lake lilivyopangwa, kuna vitu muhimu lazima kuzingataiwa likiwemo hili la ushirikishwaji (participation of community). Ushirikishwaji katika maendeleo ya jamii ni kitendo ambacho wale waliokusudia kuanzisha mradi wa...
Back
Top Bottom