Search results

  1. B

    Mkuu wa idara ana haki ya kumsimamishia mshahara mtumishi bila utaratibu?

    Kwenye halmashauli nayofanya kazi kuna rafiki yangu jumamos alipata dhalula kwa sababu ofisi za serikali zinakuwa zimefungwa week end kaamua kwenda kumwona mgonjwa. Alikaa huko wiki mbili maana mgojwa alikuwa serious alivyorudi kazini kaambiwa mtoro hivyo yampasa asipewe mshahara kwasababu...
  2. B

    What the difference between happy and pleasure

    Some body told me that pleasure is temporary happiness and happiness is permanent pleasure what is or argument please
  3. B

    Mwanamke kumpiga hands up mumewe ni sahihi

    Kuna tetesi kwamba kuna kabila moja nchini kanda ya kaskazini ukioa huko pindi ukitoka kazini jioni. Mke anakipipa handsup anakuserch mifukoni asiporidhika anakuamulu kupiga Soti yaani kutembelea mikono mpaka sole zidondoke ndo akuruhusu uingie ndani Salama jamani hii ina ukweli au majungu tu
  4. B

    Kitokeacho Baada ya Mwanamke Kumfumania Mumewe

    Kuna kautafiti nimefanya nikagundua kwenye mahusiano kuna mambo mengi ikiwemo kuchepuka. Cha kushangaza wanawake wengi pindi wafumaniapo waume zao utamwona anakurupuka na kumvagaa mke/binti anaye kutwa naye. Hii ni tofauti kwa wanaume akifumania mkewe mara nyingi anatoa adhabu kwa mkewe si kwa...
  5. B

    Nina script ya movie ya kiasili kabila la kihaya

    Kiufupi Mimi ni mtumishi wa serikali Nimeandaa script nzuri asili ya kabila la kihaya kuna kaela kidogo kama mil5.zamaandalizi ya a wali nahitaji mtu aliyetiyali kucheza awe na ela kidogo tufanikishe Tafadhali aliye tiyali anitafute asiwe tapeli
  6. B

    Mchumba Wangu kazimia kwenye msiba

    Nina mchumba am aye tunapendana sana .yukochuo kimoja jinini Mbeya cha kushangaza kwao kuliwahi tokea misiba mingi haikuwai tokea Hali hii Jana mama wa mkufunzi wake alifariki wakati wanapeleka mwili kuuhifadhi mchumba Wangu alipo mwangalia mwalimu wake gafla akapoteza fahamu kanipigia cm Yuko...
  7. B

    Ili ufanikiwe maishani kipi kitangulie gari, nyumba au ndoa?

    Niko job of sin kuna Mfanyakazi mwenzangu kaja na fomu ya mkopo wa bank nilipojaribu kuisoma kujua mashariti Tao nimegundua kipengele cha dhumuni la mkopo ikanibidi ma Mimi nivae viatu vya muhusika nikafikiria mambo matatu ya kuanza nayo maishani napenda sana kuwa na gari pia napenda kuwa na...
  8. B

    Nauza nyumba

    Nauza Nyumba yangu mwenyewe INA vyumba vitatu kimoja self finishing nimemakiza sebule tu na dinning iko mwanza machinjion being million 35 aliye tiyali nimeshaweka tiles sehemu baadhi
  9. B

    Nina kazi yenye kipato cha wastani ila pesa haikai mfukoni sijui nifanyeje ili kubadili matumizi

    Nimeajiriwa serikalini mshahara Wangu wa kawaida sana yaani mshahara wa graduate kila Siku nimatatizo ikifika tarehe10 Sina kitu nikiangali nilichofanya sikioni jamani nitumie kanuni gani less yangu ikae mfukoni maana kama pombe sinywi sana wanawake sina nisaidie najikuta nimemiza pesa kwa...
  10. B

    Mke wangu kaiba vitu vyote ndani kaondoka na mtoto na sijui alipo

    Miaka mnne nyuma nilizaa na mdada wa kimachame kiukweli nilimpenda sana baada ya kumaliza masomo niliamua kukaa naye cha kushangaza akaanza kutembea na jamaa zake yaani wachagga wenzake. Nikamkarisha kikao na ndugu wakamwonya kwa tabia zake tukaendelea kuhishi kwa taadhali kubwa. Baadaye...
Back
Top Bottom