Search results

  1. Estmeed Reader

    Kagasheki vipi?

    Some dreaming people are on their way to hang!
  2. Estmeed Reader

    Neno La Leo: Ng'ombe Kipofu Na Ng'ombe Aliyevunjika Mguu!

    Mjengwa, shikilia uzi ule ule!
  3. Estmeed Reader

    Elections 2010 CCM waanza kumwaga damu mkoani Mara

    Siasa zinaanza kuingiliwa na wenye nia mbaya! "Kumwaga damu" ni kauli yenye uzito mkali! Lakini ni kiasi gani cha damu kumwagika kinachostahili sifa kama hiyo/ Wa kuanza kupiga wengine walikuwa ni Chadema huko Vunjo na watu wengi walishangilia kuwa hakupewa kipigo tosha! Walilia kuwa...
  4. Estmeed Reader

    Neno La Leo: Mti Mmoja Mrefu Haufanyi Msitu!

    JF ni "The Home of Great Thinkers" japo pia ni kaya " Where we Dare to Talk Openly!" Tusiifanye JF uwanja wa uzalisha, ulea na kueneza "hate propaganda"!
  5. Estmeed Reader

    Utafiti wa REDET wampa KIKWETE 71% Dk. Slaa 12%

    Sijui sasa tuamini utafiti wa nani! Futeni hizo tafiti! Tungojee mchakato wa kampeini uendelee kwa amani; wapige kura wanaopenda; kura zihesabiwe kwa amani na ukweli; washindi watangazwe; washindwa wakubali na kuridhia washindi. Tutakuwa tumepiga hatua kubwa kuliko kushabikia tafiti za hawa...
  6. Estmeed Reader

    Elections 2010 Kikwete avunja rekodi ya kukaa nchini

    Sasa tufuate lipi? Akitoka, ...huyo Vasco da Gama! Akikaa nchini, ...huyo kavunja rekodi!
  7. Estmeed Reader

    Naomba ushauri: Technolojia ya ujenzi wa gharama nafuu Tanzania

    Kuteremsha bei kweli kunaweza kuwasaidia maskini bila ya kudhibiti matajiri wenye pesa? Simenti yote itanunuliwa na matajiri...soko!
  8. Estmeed Reader

    Utafiti wa REDET wampa KIKWETE 71% Dk. Slaa 12%

    it is not over; till it is over!
  9. Estmeed Reader

    Huyu Ndiye Makamba

    Kuna tofauti kati ya "information" na "propaganda" --- sana sana "political propaganda". Hata hivyo, propaganda yeyote (political or sociological) mojawapo ya mafanikio yake ni kwamba watu wengi hutongozeka na kujumuika, mithili ya mgoma ya mdundiko! Wengine tutafikiria hayo ya Makamba ni...
  10. Estmeed Reader

    MO Ibrahim Governance Index Ranks Tanzania 15th in Africa

    Nilisoma kwa makini. Ila nilitaka kila atakayesoma hiyo "ranking" azingatie kwa nini Tanzania tuliwashinda Kenya na Uganda! Je, tujivunie na "rank" hii ya kuwa "the best governed country in EAC"?
  11. Estmeed Reader

    MO Ibrahim Governance Index Ranks Tanzania 15th in Africa

    Soma na uelewe: Ranked 15th in the continent, Tanzania is the best governed country in EAC, followed by Uganda (24), Kenya (27), Rwanda (31) and Burundi (32), the Mo Ibrahim 2010 Index country rankings.
  12. Estmeed Reader

    Pupa ya kutaka kushika madaraka, itaiangusha CHADEMA tena

    Chadema ina umbali mrefu wa kwenda...kuwapata akina mama! Women Power hakuna ndani ya Chadema!
  13. Estmeed Reader

    Kesi ya Mahimbo

    Kesi Tamu Sana! Albeit, the case before Makahama, dolour to Dr Slaa; you have a doctorate law degree, and understand Latin well: Ignorantia juris non excusat (ignorantia legis neminem excusat)! Shall the law establish, prima facie, the existence of wilful blindness on your part when...
  14. Estmeed Reader

    Jumuia Mpya ya Africa Mashariki nani aliyesababisha kifo cha muungano ule wa kwanza?

    Sorry! Ideological diferences! (ABOVE) should read: Ideological differences!
  15. Estmeed Reader

    CCM wanampenda Slaa, angalia picha hii

    Kithibitisho hicho hakitoshi! Inawezekana huyo aliyevaa hiyo t-shirt ni mwana-Chadema!
  16. Estmeed Reader

    Elections 2010 Tuelezwe juu ya afya ya Rais Kikwete!

    Na tufungue tena ya kimada Josephine. Ni lazima tujue maadili ya kiongozi anayeitwa "RAIS", hata kama hao wanajidai kuwa ni viongozi wa dini watakataa kuyazungumza ya binafsi!
Back
Top Bottom