Search results

  1. xuxu meyu

    Wakuu naomba ushauri wa bike nzuri na imara

    "HAUWEZI" kabisa katakua kameungua ila nilikua na zungumzia mfuko wake kama mdogo awe mpole. Halafu kuna mambo mengine tujuilize kuna mdau hapo juu amelitafuta duka la hizo pikipiki hata hajui lilipo na haijulikani kama kweli lipo vipi vifaa vyake atavipata kweli? Hapo ndio utajua uli usemi...
  2. xuxu meyu

    Wakuu naomba ushauri wa bike nzuri na imara

    Nimeangalia kawasaki na yamaha ulizo weka duh! Kweli kama ana hela hizo ndio pikipiki [emoji38][emoji38][emoji38] kama hana hela haojue is better than [emoji38][emoji38][emoji38] atakua ameelewa tu ili hiyo kawasaki dah! Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  3. xuxu meyu

    Wakuu naomba ushauri wa bike nzuri na imara

    Na yamaha kama inataka kuzima hivi yaani hizo pikipiki mbili nazipendea hapo tu
  4. xuxu meyu

    Wakuu naomba ushauri wa bike nzuri na imara

    Sina cha kukushauri ila napenda sana sauti ya yamaha niya kipekee yaani na ikitoka yàmaha inakuja suzuki (sauti tu)
  5. xuxu meyu

    Je, ninunue pikipiki aina ipi kati ya Boxer BM 150 na TVS HLX 150?

    Boxer 150 na tvs 150? Chukua boxer 150 Ilabkama ni boxer 150 na tvs 125 Chukua tvs 125 Ila kama unakaa nje ya mji na unabeba mizigo chukua haojue (sio mayai) au sanlg Kama UKO MJINI UNAJUA KUTUNZA KITU KAMA YAI chukua boxer Kaha hauhitaji ghalama kwenye utunzaji chukua haojue au sanlg * kama...
  6. xuxu meyu

    MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

    Ila wewe unaetaka kununua haojue kama ni ya biashara achanana ile wanaiita haojue mayai kama ya binafsi sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. xuxu meyu

    Mwenye uelewa kuhusu Isuzu Tipper Direct Injection

    Kilakitu liko vizuri sana ni gari la kazi ila ndugu naskia ukiliona linakuja lipishe usijekua wewe ndio breki hapo kwenye breki utakua umeelewa tu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. xuxu meyu

    Uwezo wa Jeshi la Anga la Iran katika kujibu vitisho vyovyote na kudumisha usalama katika eneo

    Loli ni gari kuubwa mf lakubebea mchanga aumizigo ya aina yoyote au hata wanyama kama ng'ombe nk. Vipi kama hujaelewa niendelee na mifano Sent using Jamii Forums mobile app
  9. xuxu meyu

    Haka kademu kaliobeba Kombe la EPL 2019 kukabidhi Mancity ni mrembo balaa

    Hata huyo bibi wa nyuma yake anaonekana mrembo hivi umejaribu kuwa zoom kweli Sijui umekula maharage ya wapi leo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. xuxu meyu

    Aina gani ya Pikipiki inafaa kwa matumizi ya shamba

    Zipo pikipiki nzuri zaidi kwa kubebea mizigo shamba ila kwakua umeniuliza kati ya baja na hiyo yamaha ningekua mimi ningechukua YAMAHA hiyo baja kubebamizigo sizani ila hiyo yamaha angalia tu kitichake cha mizigo utakielewa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. xuxu meyu

    Aina gani ya Pikipiki inafaa kwa matumizi ya shamba

    Ndio kiukweli napenda sauti za yamaha inakua kama ina taka kuzimika kama inakwama kwama narudia tena NAPENDA SAUTI ZA YAMAHA (pikipiki) na kwenye hii pikipiki kingine napenda inavyo nesanesa kwenye njia yenye mashimomashimo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. xuxu meyu

    Aina gani ya Pikipiki inafaa kwa matumizi ya shamba

    Aisee hili dude tulikua nalo la yamaha unapanda hatakwenye mawe au matofari na bado lina nesa tuu halafu la yamaha lina sauti nzuri sana Sent using Jamii Forums mobile app
  13. xuxu meyu

    Tukio la kutia hamasa waandamanaji Iran walivyokwepa kukanyaga bendera ya Marekani na Israel

    Ilani [emoji777] Iran [emoji818] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. xuxu meyu

    Iran vs. US military capabilities

    [emoji38][emoji38][emoji38]kwani mtoa mada ndio dr william wa usa? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. xuxu meyu

    Urusi Baba Lao watengeneza kombora lenye Technology ya kisasa.

    Tuko hapa poland kwani hujapata habari? Sent using Jamii Forums mobile app
  16. xuxu meyu

    Chile: Ndege ya Jeshi yapotea ikiwa na watu 38 ndani

    Marekebisho ya kiufundi yako mengi pengine viti vya ndani pengine taa au rangi muhimu ijulikane tatizo ni nini
  17. xuxu meyu

    Serikari iboreshe stendi ya Makumbusho

    Halafu kungekuwa na mpaka wa wafanya biashara wanao jenga vibanda magari hayana pa kupaki mfn ya mbweni nafasi imejazwa na mabanda ya popcorn juisi ya miwa mishikaki mara viatu hata eleo la watembea kwa miguu au kusimama abiria hakuna
  18. xuxu meyu

    Serikari iboreshe stendi ya Makumbusho

    Kiukweli vituo vya daladala vingi ambavyo vimewekewa matofali madogomadogo hua havimalizi hata mwaka bila ku haribika sijui wawekaji hawashindilii vizuri au hua havina ubora kwenye sehemu hizo. Ningekua naweza kuwasahauri wakanielewa bora hata zege angalau
  19. xuxu meyu

    MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

    Et mtu ana mil 2.5 mtu anakushauri jichange uchukue crt 250/450 Rmz 250 Ktm 450 Kx 450 2stroke au 4 stroke [emoji38][emoji38][emoji38] unajua bei ya tairi zake pindi zitakapo isha huko kijijini kwenu umeona wanauza spare zake ngoja niishie hapo nisiji nikaonekana wa ajabu bure Na wewe unae omba...
  20. xuxu meyu

    Kwanini Russia hataki kuwekeza kwenye Aircraft Carrier kama USA?

    Kila nikisoma ulivyo viandika nimeshangaa sana kuona umeuliza elimu ya mwenzio wakati wewe mwenyewe unaonekana........basi tu[emoji38][emoji38][emoji38]
Back
Top Bottom