Search results

  1. CleverKING

    Nyota za bahati zipoje?

    Kwani kampuni ya toyota na huyo aliyeibiwa nyota kipi kilianza? Huyo aliyeibiwa nyota yake ana umri mkubwa kuizidi kampuni ya toyota? Mauzo ya toyota kabla ya kuuziwa hiyo nyota yalikuwaje na sasa yakoje?
  2. CleverKING

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Sahihi kabisa mkuu mzee wa liver
  3. CleverKING

    Mwanzo wa mwisho wa dunia utakuwa Jumatatu 21 Agosti 2017?

    Dada naona povu linakutoka vipi jiwe limekupata wewe eeh!!
  4. CleverKING

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Sasa kwa mfano mkuu kama wote humu tukianza kutuma hizo namba itakuaje humu?! Coz wengi tunajua jinsi ya kutuma hizo code ila tumepoa tu!
  5. CleverKING

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Where there's a will is always there's a way.
  6. CleverKING

    Mwanzo wa mwisho wa dunia utakuwa Jumatatu 21 Agosti 2017?

    Angalia shule yako wewe mtoto, kushinda kutwa jf na kutema pumba humu na hicho kisimu chako cha mchina hakutokusaidia lolote,nyie ndio mnaokuja kuwapa tabu watu uzeeni,umri haugandi,halafu andika tu kiswahili kuliko hicho kingereza cha kuokota neno moja moja.
  7. CleverKING

    Mwanzo wa mwisho wa dunia utakuwa Jumatatu 21 Agosti 2017?

    Mbona ni mgumu sana wa kuelewa?!! Hakuna mtu kaongelea source hapa! Mimi nimemuongelea aliyeileta hii mada,uwe unasoma comment kwa umakini na kuzielewa kwanza.
  8. CleverKING

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Mkuu kua kiongozi sio kua professional wa kila kitu ili uwe leader,kiongozi hupewe brief tu na wahusika,nae hutoa amri kutokana na maelezo aliyopewa, Donald Trump ni mfanyabiashara tu ila anaiongoza USA pia ndio amiri jeshi mkuu wa jeshi la US ,mambo ya ulinzi hupewa brief na wahusika sio...
  9. CleverKING

    Mwanzo wa mwisho wa dunia utakuwa Jumatatu 21 Agosti 2017?

    Mwambie na wewe Mkuu labda atakuelewa.
  10. CleverKING

    Mwanzo wa mwisho wa dunia utakuwa Jumatatu 21 Agosti 2017?

    huoni.....Unataka nifanikiwe mara ngapi?
  11. CleverKING

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Uko sahihi kabisa mkuu,kuna watu hukurupuka tu kulaumu bila kutafakari kwanza! Serikalini hautizamwi umri wa mtu bali cheo chake.
  12. CleverKING

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Mimi nimeongelea kua kwenye serikali hua hawaangalii umri bali ni cheo,kusema makandarasi wanamnyenyekea Kijana mdogo sio sawa! Hapo hauangaliwi umri bali ni cheo, sikua na maana ya kumtetea huyo RC kama ulivyoelewa wewe bali nilitoa maelezo tu kuelezea hilo suala!
  13. CleverKING

    Hivi hili neno kigogo linamaanisha nini??

    Kigogo ni mtu mwenye wadhifa mkubwa/cheo kikubwa au ni mtu tajiri mwenye uwezo mkubwa kifedha.
  14. CleverKING

    Unawezaje ku-deal na mtu wa karibu yako asiyependa maendeleo yako

    Huyo ni HATER,ni mtu muhimu sana kwako,m prove wrong kwa kufanikisha kile yeye anakiponda kwako au kukukatisha tamaa,huyo dawa yake muonyeshe mafanikio yako kwa yale anayokukatisha tamaa.
  15. CleverKING

    Mwanzo wa mwisho wa dunia utakuwa Jumatatu 21 Agosti 2017?

    Huu upuuzi upeleke fesibuku,huko kuna vitoto vingi sana, utapata wafuasi wengi tu,JF ni watu tunao jitambua.
  16. CleverKING

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Cheo kina nguvu kuliko umri tambua hilo.
Back
Top Bottom