Search results

  1. promiseme

    Mume anapotaja jina la mwengine kitandani

    Habari za Hasubuhi waungwana, Naa swali linanichokoa roho,ivi pale unapokua na mumeo mko kwenyeuwanja wa mahaba halafu mwenzio baada ya kukuita kwamfano Fatma anakuita fayka inamaana ndio mtu wake wewe boya tuu hapo au mpaka amfikirie huyo ndio bao upewe au inakuwaje? au pale anapo kuita...
  2. promiseme

    Kujishaua mbele za wanaume misibani..

    Habari za hasubuhi waungwana, Jana nilienda msibani huko magondo poromoka, nikiwa na shogha yangu cha ajabu shoga hatulii sehemu moja mara katoka nje mara kaingia ndani nikamuliza kwani vp mbona unawasiwasi kuna nini? Akanijibu hujui kama hapa ndio mpango mzima wanaume wengi hupatikana msibani...
  3. promiseme

    Mume anapokuliza maswali

    Habari wana MMU, Ivi mume anapokuuliza maswali kama "Ivi mke wangu ukisikia nna mwanamke au nimeoa utajisikiaje'? anamaana anakutayarisha au anakuharifu au anakupima utakaposikia habari hizi? au anakwambia ili ukisikia usiamini? manake baadhi ya wanaume wako na maneno kama hayo kwa wake zao au...
  4. promiseme

    muhonge mwanamme halafu uone kama atachomoa kwako!!!

    Habari za kazi wana MMU, Leo nimesikitishwa na wanawake wawili hapa kazini wanao gombea mwanamme mmoja,kwanza ilikua wanafanya siri Mpaka ikawa kila mmoja anamjua mwenzie sasa yakaanza mashindano ya kugawa zawadi kwa mwanamme,Ghaliyah Kanunua set bed room set Wafaa akanunua Sofa set imekwenda...
  5. promiseme

    Mke wa pili kisirani.

    Mambo waungwana? Mwenzenu nna ka mtihani,nna shoga yangu nikonae kama ndugu,alipata bwana kwenye FB Mapenzi yaka dumu kwa miezi 5 wakamua kufunga kutaka kufunga ndoa shost wangu ndio Mara ya kwanza anaolewa,alipokuja kuni shauri nikawanamjua bwana anaetaka kumuoa Nikamwambia bora asubiri ili...
  6. promiseme

    Mimi na yeye nani zaidi?

    Habari za Weekend wana MMU, Kuna swali nimelisikia jana wakati tuko kwenye party kuna jamaa alikua ana muliza mpenzi wake"Eti nani zaidi kwenye sita kwa sita mimi au hao walio pita mwanzo? nilimuona mwehu mwanamke nae akajidai haelewi sababu X wake alikuwepo akajitia nasikia mvua zitakua...
Back
Top Bottom