Search results

  1. UKAWAA

    Vodacom mmesababisha ndugu yangu kufariki, nawaletea maiti ofisini

    Ndugu nimeeleza kwa kifupi sana lakini ufikilie kuwa mgonjwa baada ya kupokelewa huitaji vipimo,dawa kama atalazwa kuna gharama za nauli za kila siku za wanaoenda kumpelekea chakula inawezekana hivyo vyote havikupatikana kwa wakati kutokana na kukwama kwa hizo hela,kwa kifupi voda wamechangia...
  2. UKAWAA

    Vodacom mmesababisha ndugu yangu kufariki, nawaletea maiti ofisini

    Kila jambo linamakusudio ya mungu kwahiyo siwezi kusema angepona lakini kwa macho ya kibinadamu labda hela wasingeishikilia ingesaidia sana
  3. UKAWAA

    Vodacom mmesababisha ndugu yangu kufariki, nawaletea maiti ofisini

    Naandika haya kwa uchungu dhidi ya huu mtandao wa vodacom.Tarehe 25/4 saa 7 na robo mchana nilipigiwa simu dada kazidiwa tena kutoka kwa majirani, niliwaomba watafute gari wamkimbize hospital mimi niombe ruhusu kibaruani nitawakuta huko. Kwenye akaunti yangu ya mpesa nilikuwa nina 416,000 tena...
  4. UKAWAA

    Msaada: Nimeibiwa milioni moja na laki nane na mtandao wa Tigo

    Poleee sana ndugu,hii mitandao kiukweli ni wezi sana hasa tigo na voda.mimi tar 24/4 nilituma hela voda to airtel laki nne hadi sasa tar 28 hela haijafika na kwangu imekatwa nimewapigia wanadai hela iko hewani itafika,sasa fikilia kama nnayemtumia angekuwa yuko hospital hela inahitajika haraka...
  5. UKAWAA

    Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

    Ngoja tupate information kwa kina kutoka kwa wajuzi zitatusaidia sana
  6. UKAWAA

    Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

    Habari wanajukwaa, Nataka nianze mradi wa ufugaji wa ng'ombe wa kisasa wa maziwa kwaajili ya biashara,naomba wenye uzoefu wa ufugaji huu wanisaidie kupata somo na mambo ya kuzingatia wakati wa ufugaji. Pia naomba kujuzwa mbegu bora ni ipi,upatikanaji wake na soko la maziwa likoje.niko Dar es...
  7. UKAWAA

    Lucy Thomas Mayenga namtabiria atafika mbali

    Sherehe kwa wazibuaji huko mjengoni.hana hiyana huyo kapewa bure hutoa bure.
  8. UKAWAA

    Kibonde anamsifia rais kila jambo, kulikoni?

    Anamuonea wivu bashite alivyomshika mzee akashikika nadhani anataka ampindue pendo la bashite apewe yeye
  9. UKAWAA

    Insane Anahitaji Huruma, Kusaidiwa. Sio Kulaumiwa, Kulaaniwa na Kususwa! He Needs Help, Tumsaidieje?

    Nilikuwa napenda sana kujifunza mengi kwa pasko lakini njaa imeshampoteza kwenye misimamo yake.
  10. UKAWAA

    Zitto: Waliomsindikiza RC Makonda ni walinzi maalum, kibali hutolewa na Rais au DG TISS

    Nyumba ndogo ya mzee lazima ipewe ulinzi
  11. UKAWAA

    Kumbe mnapofokea wafanyabiashara lengo lenu ni hilo? Sisi mnatwambia mnawanyoosha kumbe..!!

    Mamaa lizabon njoo umtetee mwana wa mfalme kama kawaida yako unaweza kuhongwa na wewe japo vits.
  12. UKAWAA

    Kamanda Mpinga mchukulie hatua kali msanii Ali Kiba kwa kuvunja sheria za barabarani

    Umeongea kwa hisia kali sana,unaumia sana mafanikio ya kiba.
Back
Top Bottom