Search results

  1. M

    Mbio Za Urais: Prof. Lipumba Anakuja, Na Chupa Ya Maji Mkononi!

    Mbio Za Urais: Prof. Lipumba Anakuja, Na Chupa Ya Maji Mkononi!16 October 2010 Na Maggid Mjengwa, MBIO za Urais zimeshika kasi. Media imekazana kuandika habari za JK na Slaa. Habari za CCM na CHADEMA. Kuna aliye kwenye mbio wanamsahau, kwa bahati mbaya au kwa makusudi. Ni Profesa Ibrahim...
  2. M

    Tungekuwa na mikoa Mitano (5) kama Mtwara, umasikini wetu ungekuwa historia.

    Kwanza nianze kwa kusema kuwa lengo la huu mjadala sio kuchochea fujo na ningependa kutoa pole zangu kwa wale wote waliopatwa na maafa huko Mtwara. Mimi kwa mtazamo wangu, watu wa Mtwara inabidi wapongezwe kwa kuweza kudai haki yao bila ya kuchoka. Ni kutokana na upinzani wao, serikali sasa...
  3. M

    Naomba Msaada wa kisheria..

    Deleted by Mibikimitali
  4. M

    Elections 2010 Kikwete kutoa chanjo za saratani kwa wanawake nchi nzima !

    MGOMBEA urais wa CCM, Jakaya Kikwete jana alihamishia kampeni zake jijini Dar es salaam ambako aliahidi kuwajengea wafanyabiashara ndogondogo majengo ya kufanyia shughuli zao kwenye wilaya zote, huku akiahidin chanjo ya saratani kwa wanawake.Tayari wafanyabiashara hao wameshajengewa jengo kubwa...
Back
Top Bottom