Search results

  1. kadendu

    Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

    Huyu ni mboga mboga kitambo sema Hana mvuto ndio maana teuzi zinamkwepa
  2. kadendu

    Madai ya Janeth Shayo, Mkazi wa Uru, Moshi, kutosikilizwa

    Nashukuru kwa majibu MH waziri,Sasa kinachonishangaza haohao polisi wanaochunguza baada ya kwenda kuwauliza pale polisi kati Dodoma nao wamesema wamefuatilia(chunguza) wameshindwa kujua chochote mpaka Leo nini kifanyike.
  3. kadendu

    Madai ya Janeth Shayo, Mkazi wa Uru, Moshi, kutosikilizwa

    MH waziri nikupongeze Sana kwa kazi nzuri Sana unayofanya kwa kushuka chin Huku kwenye jamii na kutoa ufafanuzi wa jambo muhimu kama hili unaitendea haki ofisi Yako na jamii kwa ujumla mawaziri wote wangefanya hivi natumai MH rais angefurahi Sana Sasa Mimi Nina jambo Moja nahitaji kidogo...
  4. kadendu

    DOKEZO Barua kwa Camilius Wambura, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania

    Namuonea huruma Sana mama yake mzazi ni mtu wa kulia Kila siku Hana majibu kutoka jeshi la polisi mpaka leo
  5. kadendu

    DOKEZO Barua kwa Camilius Wambura, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania

    Anaendaje kozi vyeti vyote kuanzia primary mpaka chuo aliviacha,kadi za benki simu vyote aliacha.
  6. kadendu

    DOKEZO Barua kwa Camilius Wambura, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania

    Mkuu ubena zomozi barua yangu haijaonwa mpaka Leo mwaka wa nne huu
  7. kadendu

    Moyo wangu huwa unaumia sana nikiona vijana wadogo wakimtukana Rais Samia mtandaoni

    Mkuu majibu yako ya utra sound uliyoyakimbia hayo hapo.
  8. kadendu

    Wengi wanadhani bado tuko kwenye Siasa, ikitamkwa Uhaini hakuna Siasa tena bali Mifumo Yote inaamka!

    Choko wewe mbona mafisadi yamevuna mabilioni hao unaowataja waliufyata
  9. kadendu

    CCM ni Chama pekee Makini Duniani

    Wameshaleta dawa mirembe kachukue
  10. kadendu

    Rais Samia anakuja "kufunika" tena Nanenane Mbeya

    Unakumbushwa tu ewe mtanzagiza bei ya petrol imeongezeka kwa sh 400
  11. kadendu

    Uchapakazi wa Dkt. Tulia wawakosha wana Mbeya, watoa onyo kali kwa atakayechukua fomu kushindana naye

    Kwamba tulia atume kwenye namba uliyoweka hapo Sasa litakuja jina gani?
  12. kadendu

    Ni uwendawazimu na ukichaa kuyaamini maneno yanayotoka katika mdomo wa Tundu Lissu

    Wazazi wako waliuza nguruwe wakapeleka, nguruwe mwingine shule.
  13. kadendu

    DOKEZO Barua kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

    Huyu manzi si kiburi tu kisa mke wa meya na kwamba hawezi guswa na yeyote ikizingatia kesha wapakata baadhi tamisemi pale na ndiyo ukweli kwamba hata 2021 aliondolewa kupelekea chemba na akaaga walimu walifurahi Sana akafanya mchongo akabaki ndiyo akatoa makucha yake mala 100 kwa ufupi huyu mtu...
  14. kadendu

    DOKEZO Barua kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

    Baada ya kuusoma mkeka huu kwamba tuhuma zake Sasa zimepelekwa kwa mh Rais ameanzisha ghafra utaratibu wa kukusanya kero za walimu kwenye Tarafa wakati kero namba moja ni yeye na alivyo muhuni anaandaa na vyakula kwa ufupi mkurugenzi Dr Mashimba kuwa Makini Sana na huyo mtu utajishushia heshima...
  15. kadendu

    Uhasama wa Mbowe na Ndugai ulianzia Kibaha Secondary

    Sasa mbowe alikuwa masikini wakati huo,lakini wewe ni masikini mpaka Sasa dalili ya masikini yeyote ni chuki na roho mbaya.
  16. kadendu

    DOKEZO Mwenyekiti wa CCM Mkoa: Miili ya Watu inaokotwa kwenye Mifuko ya Rambo, Simiyu si salama

    Mbona mnambebesha Sana mizigo huyu mama kwa chuki zenu za kipumbavu simiyu Kuna mkuu wa mkoa,rpc,rco,rso nk kwanini msianze kuhoji huko!? au mnafikiri mtu akiwa raisi anavikwa uMungu kwamba atajua Kila kinachotokea? muda mwingine muwe mnaficha chuki na upumbavu wenu.
Back
Top Bottom