Search results

  1. Q

    Kumbe wazaramo wamelowea

    Kama ilivyo kawaida, makabila mengi yalipewa majina ya makabila yao na watu wengine.Wenyeji wa Mkoa wa Pwani na Jiji la Dar es Salaam, yaani Wazaramo walipewa jina hilo na ndugu zao Waluguru! Mambo yalianza vipi? "Eneo ambao leo linajumuisha Mkoa wa Pwani lilikuwa likikaliwa na watu wa kabila...
  2. Q

    mspada namna ya kutumia Operamini

    Habari zenu wakuu!! kabla sinaenda kwenye mada husika, ninatunguliza swali langu, nime-update operamini yangu ya zamani na sasa ninaitumia mpya. shida inakuja pale ambapo ninashindwa ku-save pages zangu ili kuweza kuzisoma nikiwa offline. kwa yeyote ambaye anaweza kutupa maelekezo ya namna ya...
  3. Q

    Plate number mpya za bodaboda

    Habarini wana jukwaa? husikeni na kichwa cha habari hapo juu, deadline, utaratibu pamoja na gharama ya kubadilisha plate namba za pikipiki TRA zenye mfumo namba wa zamani, kwa mfano T 174 ABC na kwenda namba mpya zenye kuanzia na MC 123 ABC. nawakilisha.
  4. Q

    Kipimo cha HIV rapid test kipo accurate kwa kiasi gani?

    Baada ya kufanya ngono isiyo salama kwa miezi takribani isiyopungua sita huko nyuma, mwili ulianza kutokuwa katika hali yake ya kawaida, nimekuwa na homa za mara kwa mara miezi yote hyo, kichwa kuuma, fatigue na mbaya....(simu ilizima charge sikuweza kumaliza thread yangu) ...zaidi kuna vipele...
  5. Q

    Mambo usiyokuwa unayajua kwenye chokochoko baina ya Rwanda na Tanzania

    Mambo 100 usiyoyajua kuhusu chokochoko za Rwanda kwa Tanzania Historia ya Rwanda ni ndefu iliyojaa misukosuko ya kisiasa, kupinduana, vita na mauaji ya wenyewe kwa wenye yaliyosababishwa na ubaguzi wa kikabila. Rwanda imekuwa ikipita katika vipindi vigumu na vya hatari. Vipindi hivi...
  6. Q

    Kwa yeyote aliyewahi kuishi Phillipines tukumbushane haya mambo...

    naombeni tukumbushane baadhi ya mambo ya kule kuanzia misosi, zile sherehe zao n.k.
Back
Top Bottom