Search results

  1. M

    Utata katika kupata VIZA katika Ubalozi wa Marekani

    Eti unaenda kupumzika marekani ina mana hapa hakuna?mbuga zote hizi badala utoe hizo hela zizunguke bongo unapeleka nje,muongo mkubwa wee mlikuwa mnataka kupeleka pembe zetu za ndovu
  2. M

    Kabila gani nibora kwa kupata Mke ambaye anaweza kufaa nakushi mazingira yeyote

    Mbulula kwel,unatafuta mke kwa ushauri wa watu!!!UTAMEGEWA
  3. M

    Kwa haya, Mbowe na Dk. Slaa hawako radhi kwa hiari yao kuachia madaraka CHADEMA

    CCM mnatakiwa kutueleza mmetupa maendeleo yapi,haya ya slaa na mboye hayawahusu
  4. M

    Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

    Kweli siasa inazidi kuwa tamu,hapa ndo wakati wa CDM kujijenga zaidi na kujipambanua dhidi ya hivi vyama uchwara vilivyofunga ndoa na magamba
  5. M

    KP Atoa Singo ya 2015

    kweli masudi ni noma
  6. M

    Wedding-The world is ending

    Ni kinyaa hata kuangalia eti bonge la mtu anapumuliwa
  7. M

    A-town cab

    acha utoto wewe weka picha ionekane yote
  8. M

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    i cant imagine,tusubiri mwisho wa hii filamu sijui itakuwaje
  9. M

    Shule hizi

    hii kali
  10. M

    Dr. NDODI: Kuvaa suruali kuna madhara kwa wanawake

    Dr wa kuzugia ni kama marehemu DR remmy
  11. M

    Kiini macho cha Kamati ya January Makamba na Dowans

    kijana anataka nafasi ya ngeleja hapo,kwa mchezo wao wa paka na panya inawezekana wameshakosa imani na ngeleja kama ana nguvu ya kuwatetea ipasavyo hadharani,now wanataka kumsulubu
  12. M

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    Hili ni tatizo la kulelewa huyo gh analelewa na kibonde ni mafisadi wanamleaa,anyway ni njaa tu zinawasumbua mtu mwenye akili timamu hawezi kuongea kwenye media ule upuuzi,naungana na aliyesema kibonde hajua kama hajua
  13. M

    Mpenzi wako amekusevu kwa jina gani katika simu yake?

    mimi mwanzo nilikuwa sina jina then ikaja scooby sasa ni alama ya kuuliza yaani(?) sasa hapo nashindwa kabisa kuelewa hataki kabisa kuniweka nijulikane ukiuliza anasema si matangazo
  14. M

    Madee amekufuru!

    huyu nadhani siku nyingine ajaribu kujilinganisha na ya mtume wa upande wake,nadhani atapigwa mawe mpaka afe,ustaarabu unamshinda dogo
  15. M

    In Edward Lowassa, I trust...

    mm nashangaa kila siku lowasa kwani anawalipa kumsafisha?tuache hayo watz ni wengi wenye uwezo,kavurunda akae kando
  16. M

    Kikwete kwanini hataki kujaza nafasi hizi? hakuna wanaofaa?

    Mmh ina mana wanamfanyia hujuma kwa kuwa EL hayupo tena?
  17. M

    Ni Nani Jerry Muro?

    hata mm nadhani ni umaarufu mana jm ni mpanda totoz na sifa kwa kwenda mbele
Back
Top Bottom