Search results

  1. impala

    Ilipobainika kuwa Mfalme ana matatizo ya afya ya ubongo shida ilikuwa jinsi ya kumfahamisha

    Mfalme alienunua wachezaji wengi wa Simba fc akiamini atashinda ubingwa kiulaini, mfalme anaelalamika kila kukicha as if timu yake inakaribia kushuka daraja wakati tangu msimu unaanza timu yake ndio inaongoza ligi.
  2. impala

    BBC Swahili ya enzi hizo!

    Enzi hizo kuna vichwa kweli kweli Hafsa Mosi, Jumbe Omary Jumbe, Erick Mnene, Waihenya Kabiru, Erick David Nampesya, Solomon Mugera.
  3. impala

    Tunaomba kujua mamlaka ya waziri wa mambo ya ndani na IGP kwa wateule wa IGP wanaoapishwa na Rais

    Kuna mwingiliano mkubwa wakiutendaji kati ya waziri na IGP, hao ma RPC ni wateule IGP na yeye ndo anawajua ndani nje, mwenye mamlaka yakuwatoa ni IGP kwa ombi la waziri co waziri kutoka vichakani na kutoa maagizo as if yeye ndo Sirro, hivi leo hi waziri wa ulinzi anaweza kuwaondoa mabrigedia...
  4. impala

    Wasanii wote wa Wasafi Festival wapigwa ban Clouds

    Mbona Juma Nature yupo kwenye list ya wasanii watakao imba kwenye Fiesta na alikua kwenye wasafi festival
  5. impala

    Jeshi la Polisi linawashikilia Maua Sama na Soudy Brown kwa kudhihaki fedha za Tanzania

    TCRA wanadai anaendesha blog kwa domain ya dot com badala ya dot co.tz coz walishatoa maelekezo muda tu wenye blog wote wanatakiwa watumie domain ya dot co.tz yeye naona kagoma, so usishangae akipandishwa kisutu kwa kosa la uhujumu uchumi.
  6. impala

    Jeshi la Polisi linawashikilia Maua Sama na Soudy Brown kwa kudhihaki fedha za Tanzania

    Naona kuna upepo mbaya unavuma anga za mawingu maana Shaffih Dauda nae yupo jela since ijumaa kwa ishu ya blog yake.
  7. impala

    Mtangazaji wa Channel Ten na mumewe wapata ajali, mume afariki papo hapo

    Jamani hi ajali imetokea masaki leo alfajiri co ununio kama mleta uzi anavosema, hiyo gari ni ya CCDF mstaafu na alikua anaendesha mwanae, ambae nae ni majeruhi kalazwa muhimbili.
  8. impala

    Mtangazaji wa Channel Ten na mumewe wapata ajali, mume afariki papo hapo

    Hiyo ajali imetokea alfajiri leo masaki na mmoja wa majeruhi ni mtoto wa CDF mstaafu kabla ya huyu wa sasa.
  9. impala

    Hivi ni nini kimemkumba mzee wa IPP Media?

    Mzee mengi mgonjwa, hata last week mzee wa msoga alienda nyumbani kwake kumjulia hali.
  10. impala

    Kiprotokali IGP anampigia saluti DC?

    IGP ni high level hawezi kumpigia huyo raia saluti.
  11. impala

    Watuhumiwa wa kesi ya mauaji ya mwanaharakati wa kulinda tembo wafikishwa mahakamani

    Huyo mchimba makaburi ameunganishwa hapo coz yeye ndie aliehifadhi silaha iliotumika kwenye tukio, kwa mujibu wa chanzo changu ni mchimba makaburi wa kisutu, na silaha ilifichwa makaburi ya kisutu baada ya tukio.
  12. impala

    Nini kirefu na maana ya POLICE, POLISI na kazi ya POLICE na POLISI

    People Offence Law Investigation Criminal Evidence
  13. impala

    MASAKI, DAR: Wayne Lotter, Mwanaharakati aliyekuwa akipambana na ujangili auawa kwa kupigwa risasi

    Niweke kumbukumbu sahihi. Huyo mzungu ameuwawa jana jijini Dar karibu na Shule ya IST Masaki sio Moshi kama inavyodaiwa. Jana alitoka Arusha kwa ndege kumbe kuna watu walikuwa wanamfatilia tangu airport. Inasemekana wauaji wamechukua laptop tu. Nimepita hapo IST polisi wanaendelea kukagua...
  14. impala

    Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

    Zikishawekwa we itakusaidia nini? Wakati wao wanaua wananchi wasio kua na hatia walikua wanapost picha?
Back
Top Bottom