Search results

  1. T

    Sikudhani kama dogo angenikumbuka

    hahaaaaa jmni mambo haya.
  2. T

    Pale moyo unapoumizwa

    pole sana
  3. T

    Wasichana wapiga mizinga, Mnajiaibisha mbele ya wanaume

    hahaaaaaa maskini hapo mwisho umemalizia kwa hurumaaaaa,mwambie huna tuu kwani atakuacha?
  4. T

    Natafuta mchumba

    cijui ya mwishi
  5. T

    Mke/Mme wako unapenda awe kabila gani?

    heeeeeh kumbe ndo mnachepukaga hivi,mi mtaenda nae kila match
  6. T

    Mchumba Wangu kazimia kwenye msiba

    itakuwa ni mshtuko au hisia tuu kama una wasiwasi chunguza
  7. T

    Njia za asili za uzazi wa mpango(Natural birth control methods)

    ukilamba sukari na maji barid au coca cola baridi hupati
  8. T

    Ni zipi Tabia za Mabinti Wapogoro

    oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
  9. T

    Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

    mr Tilya wa uru sec yani alikuwa tatizo. mr Mbarouk wa st.matthews ndo shida zaidi,mwngne mr.Ramadhani tiamaji matthews nae....o level st.matthew's ni mr. Peter mnoko atari na mr.Kaijage loh ctawasahau hawa watu kwa waliyonitendea mpk nimefika huku nilipo
  10. T

    Waifu ananitegea!

    hahaaaaa u real made ma day...naumwa bt nimepata ahueni. mi cna mume bt napenda nimgeuze bby aangalie,namwambia geuka basiiii yan napenda sana yani...
  11. T

    Kauli ya mpenzi wangu, inanitatiza sana

    umenikumbusha mwl wangu wa literature...
  12. T

    Mtoto wa dada angu kicheche, anafeli na nimuhuni. shule gani itamfaa?

    mpeleke ST.MATTHEW'S ipo kongowe atatulia mwenyew na haina hata duka la shule la maana zaidi hata kuspend sana ni elf 5 labda kwa siku tena hapo ndo huli chakula cha shule.wanalea vzur sans
  13. T

    Kwanini wanawake mnapenda kuuliza "umekula"?

    care tuu mi siulizagi umepika nini bt km hajala namsisitiza kula, c unajua akiumwa ulcers na mi ntawajibika kuuguza?
  14. T

    Tuwaenzi wenzi wetu, tujue jinsi ya kudili na wa kando

    kama umeona huyo wa kando ndo bora ukamfuata ya nini kuwa na uyo unayemwita halali? mwache tuu afanye yake.
  15. T

    Nokia lumia 510 bei chee...Dodoma

    naiomba bure
  16. T

    Nguo zinaficha mengi

    hahaaaaaaa
  17. T

    Nimeumizwa sana na Hili la TAMISEMI:

    St.john's yalitoka majina manne tuu ya wahitimu waliopangiwa shule,hivyo ilibidi waende dodoma chuoni wakafuatilia kwa umoja wao majina yakapelekwa tena na kufuatiliwa na uongozi wa chuo na wanafunzi hadi wakafanikiwa.pole sana endelea kufuatilia na kuwa na subira huenda wanamalizia kukamilisha
  18. T

    Demu wa vibomu

    hahaaaaa mwenyew ninae now ana 35 na hana wa uhakika wala mtoto hataki nje ya ndoa na ndo kuzeeka kunaanza.dah mibaya hiyo kwa kweli
  19. T

    Mimi Huwa Nachukizwa Sana Na Haya, wewe je?

    hahaaa nliwah kumwambia mtu tena kiupole! " kaka mbona unaniangalia sana?" alichinijibu kibaya, ckutegemea kabisa. Nikakoma
  20. T

    Jamani, mtoto anatuchonganisha familia nzima!

    mtafute uwe unafanya jukumu lako kwake kama mlivyokubaliana,na umpe pole kwa kuumwa then uwe kila baada ya muda unamtumia km ni ela au vyovyote mlivyokubaliana na dada ako,chuo kitaisha tuu muda cyo mrefu fanya uondoe lawama za chini kwa chini.
Back
Top Bottom