Search results

  1. T

    Muunganiko wa mapacha wawili Zitto & Maalim Seif kuleta historia mpya?

    MUUNGANIKO WA MAPACHA WAWILI: Zitto & Maalim: HISTORIA MPYA? Na. Dr. Goodluck Kateti. KUNA kila dalili kwamba muda si mrefu kutoka sasa, Makamu wa Rais na Waziri Kiongozi mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Maalim Seif Shariff Hamad, atajiunga na Chama cha ACT Wazalendo kufuatia...
  2. T

    Nina mashaka na uwezo wa Godless Lema

    Anza kuwa na mashaka na Baba yako mzazi...
  3. T

    Nyakarungu awa mwenyekiti wa vijana ACT Tanzania, hii ndio demokrasia?

    Hicho ni chama au kikundi cha genge la wahuni?
  4. T

    Uchaguzi BAVICHA 2014 - Dady Igogo atumika kuleta vurugu za 2011

    KUTOKA KWENYE TIMELINE YA DADY IGOGO ACHENI MAJUNGU... MTAFUKUZWA NYIE MTAMUACHA MKWE WA SLAA Dady IgogoAugust 15 TAMKO LA MCHANGE. Nimesoma kwa makini sana tamko la Habib Mchange sijaona kipya. Nimekuwa nikipuuza sana kwa muda mrefu matamko au post zake coz zimekuwa na mwelekeo wa...
  5. T

    Uchaguzi BAVICHA 2014 - Dady Igogo atumika kuleta vurugu za 2011

    Dady Igogo7 hours ago PROPAGANDA ZA KITOTO. Ningekuwa na akaunti JF, pengine ningejibu... unfortunately am not member... Naona wameanza kuniambia kuwa nimetumwa na Mchange!!!! KICHEKESHO! Mchange is not my size and type!! Mnataka kuwajua marafiki zangu? Marafiki zangu wa karibu ni MCH...
  6. T

    Mwanakijiji na Uislamu wa TAA/TANU mpaka CCM

    ninaenda kwenye Kikao - Ninarudi. Nimeipenda sana Threads! Nikitoka nachukua magombo yangu.
  7. T

    Kamati kuu ya chadema iwe makini - ushauri wa bure.

    Salamu wana JF!Kamati Kuu ya Chadema inakaa kesho, pamoja na ajenda zingine muhimu ni kukaa kama kikao cha kwanza cha uchujaji wa majina ya wagombea wa BAVICHA - Taifa.Ushauri wangu kwa KAMATI KUU YA CHADEMA:-Mosi, kuzuia wabunge kushiriki kwenye ajenda ya Uchaguzi wa Bavicha ambao tayari...
  8. T

    Exclusive: Ripoti ya Uchunguzi wa Vifo Tarime - Marehemu walipigwa mgongoni wakikimbia

    Hongera sana Nyakaurungu. Tupeni taarifa kamili. Its very sad. naamini justice itafanywa na serikali, ikishindikana itafanywa na wananchi wa Tanzania (MARA).
  9. T

    Kutumia marehemu kisiasa ni zaidi ya kufilisika kisiasa

    Nape. kwanza, Soma vizuri Katiba. Kichwa cha habari na maudhui yako hayalingani. unahitaji elimu ya ujuzi wa uandishi. its a statement not a question, that means you have came to conclusion. sasa nisikilize! Maandamano yanamaanisha Kulaani, kupinga, kukubali, kutoa hisia za moyo! Tarime kuna...
  10. T

    CHADEMA hopeless

    Chadema is not a gang but a political party. we are strong and openly support the movements of CHADEMA. CHADEMA is operating the party not institutuonaly 100% but as a movement party. it needs a movement party to move out CCM out of power in Tanzania.
  11. T

    Sarakasi za bavicha zinaendelea - wagombea hawa kuenguliwa?

    Wana JF: Kuna tetesi kuwa baadhi ya wagombea wa Uenyekiti, Umakamu na Unaibu wanaweza kuenguliwa kutokana na ushahidi kuwa wameanza kufanya kampeni mapema - wanaotajwa kuenguliwa ni John Heche, Habibu Mchange, Saanane, Joshua Nassari na Dady Igogo. Waraka kama huu wa Dady Igogo kwa wajumbe...
  12. T

    Hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi Februari, 2011

    NUKUU ZA HOFU ZA JAKAYA MRISHO KHALIFAN KIKWETE KUHUSU CHADEMA. ZIFUATAZO NI NUKUU ZA HOFU ZA JK, KWENYE HOTUBA YAKE YA JANA KATIKA KIPENGELE CHA HALI YA USALAMA WA TAIFA HILI NI WAZI AMEANZA KUSHINDWA. ANAOGOPA UTISHO MKUU WA KISHINDO CHA CHADEMA!!!!! “……..kauli na...
  13. T

    Uthibitisho wa Mhe. Lema kuhusu Pinda kuongea uongo Bungeni

    in my life in the politics sijawahi kuona Mbunge mwenye spirit kama Godbless Lema!!!
  14. T

    Mgomo mwingine walipuka IFM

    Alutaaaaaaaaaaaaaaa Continuaaaaaaaaaaaaaaaa................. Tupe hoja za mgomoooo?
  15. T

    Familia ya Nyerere yatabiri CHADEMA kushinda 2015

    Anguko la ccm inakuja.
  16. T

    Hii Nimeipenda: Wana CHADEMA University Wavaa Magwanda Darasani

    the university Act of 2005 prohibit any students or staffs not to engage or involve in any political parties affairs and the things related. no flag or parties uniforms shall be....................... But ni ngumu kuwakamata, inatia moyo sana. siyo zama za kuogopa.
  17. T

    Anayejua anisaidie hili! Je, ni kweli?

    CHADEMA haina hizo fedha.... hizo ni propaganda za ccm. hata CCM hawalipani hivyo........
  18. T

    Uchaguzi wa vijana wa chadema.

    Subiri....... utatangaziwa. CHADEMA ni chama MAKINI. Vijana wa CHADEMA hawachezi sakakasi. wapo focused.
  19. T

    Watanzania wengi kuwania ubunge sababu hii hapa

    Lema yupo sahihi. Endelea Kama Lema. ni kweli baadhi ya wabunge wa chadema na ccm wamechukizwa na kauli hiyo ya Lema.
Back
Top Bottom