Search results

  1. SAGAI GALGANO

    Lucas Mwashambwa umekosa utu kabisa kutumia ajali mbaya ya Arusha kisiasa

    Kada kiherehere wa CCM Lucas Mwashambwa umeonyesha roho ya kishetani kutumia kisiasa msiba uliotokana na ajali mbaya kabisa kule Arusha. Chadema walishapanga maandamano yao kufanyika kesho tarehe 27/02/2024 na wamepata vibali vyote husika. Chadema wamekuwa wa kwanza kutoa salamu za rambi kwa...
  2. SAGAI GALGANO

    Wizara ya Afya mnaijua Hospitali hii?

    Kuna nyumba ya ibada hapa Mwenge Mpakani inalaza wagonjwa na kufanya vipimo vya MRI,CT Scan,X-ray, Ultra sound vya kienyeji. Bei ya vipimo hivi ni Tsh. 10,000/- kila kimoja,mgonjwa akipatikana na maradhi kutibiwa kwa kitu kinaitwa package ambayo ni kachupa ka asali ka ujazo wa ml 10 na bei ni...
  3. SAGAI GALGANO

    Wahafidhina wa CCM wamepata jukwaa la kumnanga Mweyekiti wao kupitia mgongo wa Mbowe

    Jana tumeshudia mapovu mithili ya watu waliofakamia omo toka vinnywani wa wahafidhina wa CCM. Tuliaminishwa kuwa kikao cha bunge siku ya tarehe 10 June ni mahsusi kwa kujadili na kuelemisha umma juu sintofahamu iliyojitokeza juu ya mchakato wa ubinafsishaji wa bandari zetu. Lakini kwa mshangao...
  4. SAGAI GALGANO

    Mkao huu kwa wanaume unaashiria nini?

    Mwanaume na mwanamke ambao wako kwenye mahusiano wakikaa hivi ni jambo la kawaida sana,jee kwa wanaume tupu miguu kuingiliana hivi inaashiria nini? Halafu huyu mmoja anamuangalia mwenzake kwa matamanio makubwa. Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom