Search results

  1. mnyanyaswaji

    DC Jokate na DED Temeke mmeshauriwa vibaya stendi kuhamia Kijichi

    Tulimuambia akadharau.Nasikia Buses pia haziingii stand kwa sasa.Safi sana.
  2. mnyanyaswaji

    DC Jokate na DED Temeke mmeshauriwa vibaya stendi kuhamia Kijichi

    Ni kweli pale Temeke nafasi ipo kubwa kuna garage bubu.Kifupi kupeleka stendi Kijichi wamechemsha na lawama hawatozikwepa mbele ya safari.Hawawezi haribu miundombinu kirahisi ipite hivi hivi tu.
  3. mnyanyaswaji

    DC Jokate na DED Temeke mmeshauriwa vibaya stendi kuhamia Kijichi

    Ajabu kila mmoja anashangaa,wakazi wa maeneo hayo pia wana manung’uniko ya foleni. Mabasi mawili hayawezi kupishana vizuri kwa ufinyu wa barabara,lakini pia watu wanapotoka makazini kupitia njia panda ya Neluka wanakumbana na adha ya foleni kwa uwembamba wa barabara. Sijui hata kuna siri gani...
  4. mnyanyaswaji

    DC Jokate na DED Temeke mmeshauriwa vibaya stendi kuhamia Kijichi

    Habari jamvini, Kama heading inavyojieleza,stendi ya Kijich itakuja kuwatia lawamani kama sio kitanzini. Barabara za Kijichi vibao vinaonesha mwisho ni 10t lakini cha ajabu yanaingia mabasi ya mikoa ya kusini ikiwa na mizigo pamoja na watu zikijaa. Ni kweli tunataka kusanya kodi lakini je...
  5. mnyanyaswaji

    Kuna haja ya kumuomba Hayati Dkt. Magufuli msamaha; kama taifa kuna sehemu tumekosea sana

    Unaonaje ukimfata Mwendazake huko alipo hata sasa hivi?
  6. mnyanyaswaji

    Uzinduzi barabara Kimara-Kibaha: Rais Magufuli asema hakuna atakayelipwa fedha za fidia kwa kubomolewa nyumba

    Kama upo kwajili ya kubishana mimi sina muda huo.Ila imerushwa live kwenye uzinduzi live TBC1/ITV. Dukua mwenyewe nishakurahisishia desa
  7. mnyanyaswaji

    Uzinduzi barabara Kimara-Kibaha: Rais Magufuli asema hakuna atakayelipwa fedha za fidia kwa kubomolewa nyumba

    Mkuu nimesikitika kauli kutoka kwa mtu kama Zungu. Bora angetoa kibajaj ndio hadhi yake kauli kama hizo.
  8. mnyanyaswaji

    Uzinduzi barabara Kimara-Kibaha: Rais Magufuli asema hakuna atakayelipwa fedha za fidia kwa kubomolewa nyumba

    Habari wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Nimesikitika kusikia kauli kama hiyo inayotoka kwa mtu ambaye hata Bunge limempa hadhi ya kukalia kiti na kuliendesha Bunge tukufu. Kama Mh.Zungu hana taarifa sahihi ya kitu kidogo kama hiki je mambo mangapi ya msingi na yenye tija kwa...
  9. mnyanyaswaji

    Nafasi za Kazi Viettel Tanzania

    Hili tangazo linarudiwa zaidi ya mara 3, hapo lazima kuna tatizo tena haswa upande wenu wa HR. Haiwezekani same post mnalibadilishia date of application tu. Kuna rafiki yangu nilishamsikia akisema mnatoa offer ndogo mnoo na hii ndio sababu ya kutopata watu hadi sasa zaidi ya freshers from...
  10. mnyanyaswaji

    Ikulu ya Dar ihamishwe ndani ya miezi 18 kuanzia 01/01/2015

    ULISHALIPA PESA ULIYODHULUMU? Haiwezekani hadi unamBLOCK mdai, huu ni UTAPELI.
  11. mnyanyaswaji

    Yericko Nyerere tafadhali sana naomba nipe zawadi yangu

    Kaka Oluoch kwanza pole sana.Pili nadhan una uvumilivu wa hali ya juu kupita maelezo(mwaka mzima)unamdai tapeli na bado kakuBlock ukavumilia tena. Ninachokushauri katoe taarifa polisi huo ni uwizi hauna mjadala,suala la usajili wewe halikuhusu.Hivi kuna mshiriki yeyote wa BBA au bongostarsearch...
  12. mnyanyaswaji

    Toyota vitz inauzwa

    weka namba ya simu mkuu
  13. mnyanyaswaji

    Behind the scene ya kifo cha Msichana Betty Ndejembi na Mitandao ya Kijamii - cyberbulling

    UONGO UONGO UONGO NA UPUUUZI mada yako. Naitoa kwenye hata tetesi sababu UNGA huwa unatokea nchi za Brazil,Pakistan n.k then hupelekwa nchi zetu za Africa au ulaya kwengine.Sasa unakuja na uzushi kuwa kabeba unga tumboni akauze Brazil, non sense hujui kutunga uongo.Hii ni sawa na ubebe lori la...
  14. mnyanyaswaji

    Picha za Zitto: Before and after Umra

    UNAPOKUWEPO FAIZAFOXY jamvini mimi huwa narelax tu.Huwa unawapa data halisi wanakimbia mwishoni! Nilitaka kuwajibu kwa maswali ya kipumbavu yao lakini wewe ushafunga mjadala. Kula like 5,0000,000.
  15. mnyanyaswaji

    Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

    Kama kuna mpuuzi na mdini humu jamvini wewe unaongoza.Always unaAttack Muslims tu.Ramadhan imeanza kufungwa leo znz?Usiwe kama mkasi hukati mpaka ushikwe nyuma wee.
  16. mnyanyaswaji

    Wametoka Mbali: John Mnyika, Albert Msando na Zitto Kabwe

    Ndio shida yako kafiri wewe.Mtu akifata dini yake inavyotaka utasema mdini.Hivi huyo Omar angekuwa mdini angesimama hata karibu na Msando apo? badilika jamaa we na chuki zako zidi ya waislam.
  17. mnyanyaswaji

    Bernad Membe watanzania hatuna undugu na wapalestina

    Anayefufua yesu aliyeshindwa kujiokoa kwenye nguzo kama popo?Gwajima nae yesu?si anafufua watu nae.Kweli kuwa kafiri lazima kichwani fuse zikate kwanza.
Back
Top Bottom