Search results

  1. M

    Tangazo la kazi surveyors-4posts.

    Nahitaji surveyors wenye ujuzi unaojitosheleza. Awe ana uwezo wa kutumia mashine za levelling, Total Station n.k. Pia awe mjuzi katika kutumia AutoCAD. Nafasi hizi si za kujifunza. Nahitaji anayejua na mwenye weledi wa kufanya kazi na sio anayekuja kujifunza kazi. Eneo la kazi: MORONGA-MAKETE...
  2. M

    Kampuni ya CRSG Mradi wa barabara Moronga-Makete 53.5km inawatangazia nafasi za kazi

    Kampuni ya CRSG Mradi wa barabara Moronga-Makete 53.5km inawatangazia nafasi za kazi zifuatazo: Surveyor-Nafasi (2): 1 msichana, 1 mvulana. Fresh from School (Diploma, Degree) mtapewa kipaumbele na muombaji ni lazima awe anaweza kutumia AutoCAD software kwa ajili ya kuchora michoro mbalimbali...
  3. M

    Funded training at TCCA (deadline 25 March)

    TCAA is looking for energetic young Tanzanians, which are medically fit to train in Air Ttraffic Control. QUALIFICATIONS REQUIREMENT: 1. Holder's of B.Sc. Degree Majoring in Maths and Physics(GPA 3.0+) 2. Passes at Secondary Education level in English and Geography at grade C or above. 3...
  4. M

    NCAA Yawaita watu kazini.

    NCAA imeanza kuwatumia sms kuwataarifu kufika kazini watu wote waliofanikiwa kupita katika usaili ulioanza tarehe 06 Februari, 2018. Hivyo hauna budi kujiandaa kisaikolojia kwa kutambua kukosa na kupata vyote vipo(it's a probability) Tarehe ya kuripoti kazin imeainishwa kuwa 05 March.
  5. M

    Anayehitaji nurse mwenye addo kwa ajili ya kuuza pharmacy (kwa Dar)

    Hamjambo na Habari za wakati huu!? Kama kuna mmiliki wa duka la dawa na anahitaji muuzaji mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka miwili na cheti cha ADDO, tafadhali asisite kuandika namba na mahali pa kazi hapo chini. Yeye anapatikana Tabata Matumbi Dar Es salaam na ni mtu anayejiheshimu na kuheshimu...
  6. M

    Uzembe huu utumishi (PSRS) hauvumiliki: Tunawashusha thamani

    Kuna watu wa kada fulani (MOI) wanatakiwa kufanya usaili wa mahojiano leo tarehe 18/10 pale PSRS. Majina yaliyoletwa kwao ili waitwe kuingia ktk usaili yote yanatofautiana na watu waliokwenda kufanya usaili(sio wao) isipokuwa 9 tu. Walioitwa ni 49 (Wenye ufaulu >=50 na waliofika mpaka sasa ni...
  7. M

    Walakini: Mchujo wa utumishi-MNH na watu wa mifukoni

    Walioitwa katika usaili wa Health Attendant Muhimbili pale DUCE walikuwa 275. Baada ya wengine wengi kupunguzwa kwa kigezo cha Kiswahili na English naamini wangekua chini ya 275 na hata 100-200 kutokana na watu waliozuiliwa nje na wengine kutokufika. Lakini katika majibu ya mchujo inaonekana...
  8. M

    Utumishi Mnawakosea Watu:Waombeni Radhi Health Attendant mliowaita

    Haiwezekani umchague mtu kuja kufanya interview wakati unajua kabisa hana ufaulu unaoutaka. Health attendant wengi wamezuiliwa kuingia ktk usaili DUCE kwa kigezo cha kutokuwa na ufaulu wa Kiswahili au English wakati wamekuwa selected kufanya interview. Hivi hawa utumishi wana mawazo kweli ya...
  9. M

    Interview MNH & MOI: Health Attendant II

    Habari ya wakati huu wana JF? Nina mdogo wangu amekua miongoni mwa watu waliokua shortlisted katika usaili DUCE kada ya afya-Health Attendant II chini ya usimamizi wa Sekretariet ya Ajira. Wenye uzoefu naomba mnipe uzoefu na possible za maswali ili apate japo mwanga kidogo. Nahitaji msaada na si...
  10. M

    Nacte mliangalie hili kwa makini

    NACTE walipoyaacha mamlaka ya upokeaji wa maombi ya kujiunga na vyuo mbalimbali vya kati hasa vile vya Private (colleges) nadhan walikua na nia njema, lakin hawakupanga ni namna gani watadhibiti upandishwaji wa ada ya maombi ya udahili (applibation forms). Wakati TCU inayadhibiti haya nimefika...
Back
Top Bottom