Search results

  1. J

    Tanzania 2nd Poorest country in the world....?

    dah.. kaazi kwelikweli..
  2. J

    Isaac Ndodi: Umaarufu Gani Huu?

    Fanya utafiti wa kutosha wewe! Huyo jamaa anaatumia vitabu toka Lomalinda university (Chuo chenye historia na misingi ya kisabato), ambapo hapo kuna utaalamu wa tiba mbadala. Sisi tummeng'ang'ania ma-FLAGYL yenye makemikali kibao, lakini kuna vitu vya asili tunavyoweza kuvitumia na tukapona...
  3. J

    Isaac Ndodi: Umaarufu Gani Huu?

    Jamani hebu msimtuhum mtu bila kufanya uchunguzi wa kutosha.. Nawaomba mfanye kitu kimoja nyie mnaompinga Ndodi, fatilieni vitabu ambavyo huwa anavisoma na kutumia kwa ajili ya tiba. Visomeni hivyo vitabu halafu mvitumie kwa vitendo, kwa maana ya kujitibu kama utakuwa na tatizo MTAPONA. Vitabu...
  4. J

    Project preparation

    Thanx! JF
  5. J

    Project preparation

    Hi wana-JF? Ninaomba ushauri wa jinsi ya kuibua au kuandaa project. Kwa sasa niko nje ya nchi, ila najipanga kuja kufanya chochote kwa nchi yangu. Kwa hiyo naomba idea ya kwamba ni jinc gani ya kuibua project na kuiandaa.. Project hiyo inatakiwa inufaishe jamii, pia nami ininufaishe kwa muda...
  6. J

    Baraza la Mawaziri la Kikwete lagawanyika

    Mungu ibariki Tanzania......
  7. J

    Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    Kila kukicha naombea kikao hiki cha CCM kiendelee vyema.. NAOMBEA HATIMA YAKE IWE ni Kuvunjika kwa CCM....... Na vitokee vyama vi2 vyenye nguvu sawa... Natamani chama kimojawapo kiitwe Chama Cha Mafisadi na Kingine kiitwe Chama Cha Wazalendo....... Mungu yupo na watanzania.
  8. J

    CHADEMA kuteketezwa

    Kazi kweli kweli! Kila mtu kivyake...... Tumrudie Mungu tu... Angalau tule matunda ya uzima.... Maana uwezekano wa kula matunda ya nchi yetu Tanzania inaonekana kuwa "IMPOSSIBLE".. Unless tupate HITLER mpenda haki awatoe viongozi wote waliopo kwa nguvu ya mtutu bila kutumia demokrasia........ Au...
  9. J

    Updates uchaguzi serikali za mitaa - mtaani kwetu

    Tanzania inazidi kuelekea kubaya. Nchi zingine zinazidi kuendelea mbele kwa kuwa zina mikakati thabiti sisi tunaendelea kwa kurudi nyuma!!! Oooh Mungu tusaidie... Nani ataiokoa? Mambo haya yanayofanyika ni ya ajabu sana. I hate. Inabidi tushikamane tupigane unless nchi itazidi kubaki mikononi...
  10. J

    Tanzania Nayo Kuruhusu Ndoa Za Mashoga?

    Ingawa sina hakika na habari hiyo, maana hatujaelezwa hayo maandamano yalifanyika lini na wapi 'specifically'.... Ila tunaweza kutafakari hali hii maana imekuwa ikitokea sehemu mballmbali duniani.. Kwa kweli dunia imeelekea kubaya. Kama mwanaume anataka aoelewe!!!! Hili jambo la ajabu sana. Kwa...
  11. J

    Counselling ya nguvu inahitajika - hakuna utani jamani.

    Dada hebu eleza sababu ni nini hasa. Inawezekana wana sababu ya msingi au hawana sababu ya msingi. Eleza kwanza, sababu ni nini... Tutatoa ushauri..
Back
Top Bottom