Search results

  1. Makuku Rey

    Vyakula/matunda na tiba zake special thread

    H Huuu mmea nauheshimu kuliko mingine ninayoifahamu,unanipa ujasiri wa kukaa sehemu yoyote bila bughdha,nilidhani ni mimi tu naufahamu!!
  2. Makuku Rey

    Wadada, mnataka dakika ngapi?

    ,🤣🤣🤣Mbona chai haijai kwenye kikombe?
  3. Makuku Rey

    RC Halima Dedengo: Mwanafunzi ukipata mimba mshitakiwa wa kwanza unakuwa ni wewe

    Kwa hiyo anamaanisha aliyekula na aliyeliwa wote wana makosa?!😃
  4. Makuku Rey

    Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    😀😀😀Ni hatari tupu kwakweli.
  5. Makuku Rey

    Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Ukimuona mtu kashika chain saw anakatiza mitaa yako unaanza kumfuatilia anakoelekea😃😃😃😃
  6. Makuku Rey

    Yapi ni maji bora kwa ajili ya kunywa?

    Mimi nilishakimbia mjini mkuu,naishi nje ya mji kabisa!55kms from Mbeya town,ubavuni kabisa mwa mlima Rungwe,huku maji siyo changamoto kwa kweli.
  7. Makuku Rey

    Yapi ni maji bora kwa ajili ya kunywa?

    Mi binafsi situmii maji ya kopo,bomba wala mvua.Natumia maji ya chemichemi,visima na mtoni baaasi,kwangu mimi hayo nahisi yako poa
  8. Makuku Rey

    Akutwa akimbaka mtoto (binamu yake) baada ya kumrubuni kumpa Shilingi 1500

    🤣🤣eti ameanzaje kumtamani!!tamaa ni involuntary action mkuu.
  9. Makuku Rey

    Tumetoka kusali jumuiya kwa Baba ambae ni Mkatoliki na Mama ni msabato. Kiukweli kipengele cha kuangalia dini kwenye mahusiano ni cha muhimu sana

    Mi nadhani mkatoliki hatakiwi kuchanganywa na wakristo wengine!hata ndoa ya mkatoliki na mlokole ni mafuta na maji.
  10. Makuku Rey

    Mbinu ya awali kujua kama unalea mtoto wako au wa mwanaume mwenzio

    Mbona hivyo viganja kwenye picha vinafanana na vyangu,kwa hiyo wewe ni mtoto wangu?
  11. Makuku Rey

    Ni biashara gani ambayo huelewi faida wanapata vipi?

    SG9+,sijui wanatengenezaje mkwanja hawa
  12. Makuku Rey

    Serikali yaanzisha Tahasusi (Combination) mpya 49, sasa zitakuwa 65

    Mbona hushangai BIOLOGY kuwekwa tahasusi ya MICHEZO?!!
  13. Makuku Rey

    Saa za mwisho za mpendwa Magufuli zilijaa maumivu na majuto mengi

    Fafanua hapo pa KIROBOTO na MAMA,ni kama mtu na mwenzie🙄
  14. Makuku Rey

    WB: 2050 Tanzania Itafikisha Watu Milioni 140. Yatoa wito kudhibiti kasi ya Ongezeko la watu na uzazi

    Elimu tunayoipata haiendani na mazingira yetu ndiyo maana hatuwezi kujifanyia maamuzi wenyewe mpaka watusemee WB!!
  15. Makuku Rey

    Naomba ushauri hili jambo linanifikirisha

    Uchawi wa uswahilini ni wa kukabana tu😀😀,uchawi wa mauzauza na viini macho upo sana maeneo ya Isyesye,nna experience na maeneo hayo😀
  16. Makuku Rey

    Naomba ushauri hili jambo linanifikirisha

    Kuna mauzauza sana pale mkuu,shida nadhani ni wakinga wamejenga sana maeneo hayo
  17. Makuku Rey

    Naomba ushauri hili jambo linanifikirisha

    Hii itakuwa isyesye😀,
Back
Top Bottom