Search results

  1. prince kyextcatted

    Vijana machachari ndani ya CCM

    CCM ni moja ya chama kikubwa barani Afrika na pia ni moja kati ya vyama vichache vya ukombozi ambavyo vilipigania uhuru na bado vipo madarakani mpaka leo Umahiri huu wa chama cha CCM haujaja hivi bali ni kuwa na structure nzuri ya uongozi kuanzia ngazi ya taifa mpaka ngazi ya kata lakini pia...
  2. prince kyextcatted

    Uchaguzi 2020 Hawa ndio wabunge wa jimbo la Moshi Vijijini na Vunjo

    Sijui ni ndoto ama lah ila hawa ndio wabunge wa jimbo la Moshi Vijijini na Vunjo. Japo lakini mimi sio mpiga ramli. Dr Kimei nimefanya nae kazi alikuwa boss wangu CRDB na Comrade Victor Tesha nimesoma naye secondary na chuo kikuu na kufanya kazi pamoja wote; najuwa ni watu wa namna gani ndio...
Back
Top Bottom