Search results

  1. B

    Hivi ni kwanini mwanaume mwenye kitambi hupendwa?

    Hivi ni kwanini mwanaume mwenye kitambi ni raisi kukubaliwa na mwanamke kimapenzi kuliko mwanaume chikonda? Kwa wanawake zaidi au hata mwanaume unaweza ukatoa neno.
  2. B

    Naomba ushauri kabla cjafanya maamuzi..??

    Mimi nimeoa na tumejaliwa watoto 3 mimi na mke wangu na Mungu. Kuna mrembo mmoja tuko naye ofcn kwa muda mrefu sasa. Juzi alinishangaza wakati tunakula chakula cha mchana katika mgahawa mmoja aliniambia anataka kuzaa na mimi japo mtoto mmoja kwakuwa umri wake sasa umekwenda (39 years) na...
  3. B

    Ajira za Kibaha Trainining Centre usahili..

    Wadau natumaini mko vema.. kama kuna mdau yeyote mwenye taarifa kuhusu zile ajira zilizotangazwa utumishi kama vile poultry unit manager, dairy unit manager anijuze kupitia hapa manake kuna mdogo wangu alituma maombi hadi sshv kimya...anaelekea kukata tamaa...tujuzane kama kuna mtu amaeshaitwa...
Back
Top Bottom