Search results

  1. N

    Dear ccm,

    Enzi za mwalimu ulionekana mrembo na mchapakazi hodari, Enzi za mwinyi ulianza kujirahisisha na gharama zako zikashuka kwa huruma zako, kila mwenye pumzi alipata ahueni ya maisha. Dead CCM, Enzi za mkapa ulianza tabia mbaya ukajiona umepanda bei, ukawadai wasion a uwezo wakulipe pesa mingi...
  2. N

    Lowasa was the realistic man, hakupenda kuonekana kikwazo mbele ya bunge kujadili mambo ha nchi, ndi

    Huo ndio uongozi na dhammana, nashangaa hawa mashemeji wanalindAna wakiamini kuwa hawajaiba huku evidence zipo. hongera lowasa you were right na walikuonea
  3. N

    Polisi Manispaa ya Kinondoni waanza operation safisha mateja Dar

    Katika kile kinachodaiwa kuwa teja ni mdokozi mzuri sana wa mali za watu leo asubuhi nimeshuhudia mateja wakisombwa na magari ya polisi eneo la magomeni, huku watu wa karibu wakisema ni kutokana nw kuzagaa kwa ndugu hao maeneo hayo na kuvuta madawa hadharani. Niliwashuhudia pia wengine...
  4. N

    Hii ndio daressalaam jiji la tanzania

    Kwa wale ambao hamjawahi kufika daressalaam au mmefika kipindi hakuna mafuriko basi hiyo ndio hali halisi ya mji huu wa kizaramo,,,,, ambao umejaa kila aina ya kinyaa na starehe,,, kinachoumiza vichwa sana watu ni jinsi maji yanavyotuama na kukosa mwelekeo. Sio ajabu kusikia kwa matajiri wakuu...
  5. N

    Heri ya pasaka....... Wanajamii forum!

    Wakristo leo tunaungana na wenzetu duniani kote kukumhuka mateso aliyopitia bwana Yesu kristo pale msalabani, kwa ajili ya ukombozi wa wanadamu. Tukiwa na roho ya upole ila yenye ujasiri wa kweli tuelekee katika sikukuu hii kwa furaha kubwa pasipo uvunjifu wa amani kwani yesu hakutuachia roho...
Back
Top Bottom