Search results

  1. Vandetta

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Si yalikuwa intercepted??? Au kuonesha tu ukubwa wao?
  2. Vandetta

    Nataka kuuza nyumba, viwanja, gari na vitu vyote vya ndani nirudi bara kuanza upya kutoka Zanzibar

    15m nyumba ,Tandika ipi hyo? Fanya utafiti vzur, me nakushauri , kodisha hyo nyumba uanze na biashara ndogo ndogo kikubwa inabidi ukubali maisha ya chini ukijipanga.
  3. Vandetta

    DOKEZO Wastaafu wa TAZARA tunasotea stahiki zetu huu Mwaka wa 20, Rais Samia tusaidie

    Kuna mzee wangu mmoja pia yumo kwenye hii issue , hawa wazee wanataabika sana . Mh. Rais tunaomba uangalie hawa wazee wanataabika sana.
  4. Vandetta

    Umeme upo hapo ulipo kwa sasa?

    KUNA HITILAFU KWENYE NJIA YA GRIDI
  5. Vandetta

    Kwenye Utawala wa awamu ya 5, Viongozi wa Chadema walikamatwa, walitekwa, walifungwa jela, walipotezwa, walijeruhiwa na wengine waliuawa

    Lakini mama amerejesha democrasia na amani, yote yamebaki historia. Mama anaupiga mwingi
  6. Vandetta

    FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

    Chama akikutana na timu mbovu utampenda...
  7. Vandetta

    Ni kwanini makapenta (Mafundi Seremala) wengi wao ni matapeli?

    Pole sn , mpk leo sijapewa kitanda kutoka kwa fundi yapata 3 yrs now, na ni jamaa yangu wa karibu, carpenter wamezidi kwa utapeli siku hz nanunua ready made furniture tu.
  8. Vandetta

    Wilson Oruma: Viongozi Simba wafanye maamuzi magumu kwa Chama

    Ni kweli, Pia huwa anaonekana wakicheza na vitimu vidogo dogo.
  9. Vandetta

    Tukifuata ushauri wa professor Janabi tutaangamia kwa njaa

    Jamaa kuna mambo anatupeleka chaka kwa wanaojua mambo ya biology wanacheka chini chini 😂, kwanza huyu ni mtaalamu wa lishe au cardiac issues??
  10. Vandetta

    Huu umeme wamekata nchi nzima?

    Poleni watu wote wa Muembe Mchomeke😀
  11. Vandetta

    Ugomvi wa Zanzibar na wamasai ni mwendelezo wa Ubaguzi

    Wamasai wanaacha asili yao wanaenda kudhalilika huko ugenini. Kwa kulinda asili ya kimasai naomba watimuliwe wote huko Zenj warudi maporini, as long as utalii wazungu watafuata huko 😀
Back
Top Bottom