Search results

  1. S

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wakuu. Naombeni mnisaidie bila kuweka namba yangu ya simu hapa jukwaani. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Labda inbox. Sio hapa. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nilichomeka kwenye umeme remote ili kuingiza unit ikapiga shoti. Ikotoa moshi. Baadae ikawa haipokei umeme kabisa na wala betri haikubali. Nikaenda kuripoti physically ofisi za Kigamboni wakanambia hakunaga spea ikifa ndo ishatoka.. Wakanielekeza namna ya kutumia remote ya jirani ndo...
  4. S

    Elimu ya kidigitali haijaguacha salama walezi.

    Elimu ya kidigitali. Mambo meengi yamebadilika.. Mwee!! Akichelewa kudamka asubuhi akaachwa na basi la shule, naadhibiwa mimi.. Natoa pesa yangu mfukoni ili apande bodaboda awahi vipindi.. Tena wakati mwingine inanibidi nichome mafuta yangu kumuwahisha. Asipofanya homework mara kadhaa, naitwa...
  5. S

    Linganisha picha ya UKAWA na CCM Mbeya jijini

    Mkuu. Wilaya zetu nyingi hazina viwanja vya kuutoshereza umati wa ukawa. Na endapo atafanya hivyo jeshi la polisi litatengeneza matamko mengi sana. Sipati picha eti Lowasa aweke mkutano Biafra au Machava pale Kigamboni. Ndicho anachikifanya Magufuri huku kwetu. Kafanya mmoja Tunduma...
  6. S

    MBOWE: Lowassa = Mabadiliko... Mabadiliko = Lowassa

    Amemalizia Kwa kusema ndo habari ya mujiini.
  7. S

    Hivi hapa Airtel wako serious kweli?

    Ha haaa haa! Nafikili mtambo ulikosea. Embu rudi tena mkuu.
  8. S

    Ar/rb/10850/2015: Matapeli wanatumia namba yangu ya Vodacom

    Niliwahi kuisikia kesi kama hii kwa mtu wa karibu na familia yangu. Tofauti yeye ilikuwa ni laini ya airtel. Jamaa alikuwa anaenda airtel anafunga baada ya muda anashangaa rafiki mwingine kishatapeliwa. Cha msingi wataarifiwe ndugu na jamaa wote. Na wao wawataarifu jamaa wengine. Huu mchezo...
  9. S

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Mafuriko. historia inaendelea kujiandika. sipati picha mawaziri wa zamani wawili wakihama chama ndani ya mwaka mmoja. haaa haaa! Tuwangoje Maraisi Mwinyi na Mkapa. Manake sijawaona kujishughulisha na kumpigia kampeni Magufuli.
  10. S

    Gharama za kwenda Cape Town na kukaa siku moja?

    Ni watu weusi wanaoishi sauzi ambao siyo wazawa. Gugo tu kwerekwere au kwirikwiri utaona kwa mapana zaidi mkuu.
  11. S

    Gharama za kwenda Cape Town na kukaa siku moja?

    Mkuu siwezi baki hivihivi. Sehem za kutembelea zimeisha kwani? maeneo ya namna hiyo mimi naenda kikazi tu. Lakini siyo kwa kuzichanga. kwa taarifa yako hata hali ya kisiasa ilivyo huko bongo kuelekea uchaguzi mkuu imepunguza kasi ya watalii kuingia nchini. kwahiyo usinione mi mshamba saana kwa...
  12. S

    Vodacom, mnafahamu maana ya UNLIMITED Intenet?

    Ilikuwa hivyo zamani. Kwa muda wa kama wiki hivi vodacom wamebadilisha gharama nafikili. Kifurushi hakimalizi muda wake kama tulivyoahidiwa.
  13. S

    Kuna tofauti kati ya VISA na Pasport?

    Passport zina rangi mbayaa! Ngoja tuchukue nchi. :dance:
  14. S

    Kuna tofauti kati ya VISA na Pasport?

    Ha haaaaa haa haaaaaaa! mbavu zangu mwee wajameni!!!!
  15. S

    Gharama za kwenda Cape Town na kukaa siku moja?

    nendeni mkageuzwe makwerekwere!!
  16. S

    Rais anayejua hadi idadi ya mimba zilizotungwa!

    Kichwa alikuwa nyerere. Anahutubia bila kipande cha karatasi. Anaongea facts tupu. Hotuba zinasisimua hata baada ya ma karne kupita. Huyo rais wako asilimia kubwa ya hotuba na matamko yake anayajutia. Mojawapo ni hiyo ya mayai ya samaki. Huo Ukichwa unaouona sisi huku kwetu alitwambia kama...
  17. S

    Kikwete: Mafuriko ya Lowassa/UKAWA ni moto wa mabua!

    Wastaafu wamemsusia kazi. (Ben na Hasan) wako kimya. Komba ashatagulia kwa Bwana. Yeye ndo anazurula na mabua. mpaka anasakata dansi jukwaani. Kampeni za awamu hii zinamkosti sana mkulu.
  18. S

    Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Mmbunge aliyeihama ccm kasema ccm ni sawa na gari bovu
Back
Top Bottom