Bora mmekuja ndugu zangu AKILI TATU Na tabibumtaratibu Kutoa somo humu maana nishawahi waambia watu kuwa pesa huja baadae blogging yatakiwa kwanza itoke moyoni na utenge muda kujifunza nahisi Mungu kawatuma humu
Umeongea Kama Mimi kabisa, me pia ni long timer na ni Entertainment journalist nje ya blogs Huwa na feel Raha kwenye kuandika Habari za burudani but sio udaku I hate Tabloid, na huwa nashauri Wengine wasifungue blog kupata pesa.. sema niliacha kuandika Kama miaka mitatu baada ya kupata deal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.