Search results

  1. Fundisi Muhapa

    Balozi wa Kiswahili ni mama Salma

    Amesisitiza waTanzania tuzungumze kiswahili popote tulipo duniani ili kukikuza.
  2. Fundisi Muhapa

    Wadada kutembea/kusimama gumba zimeangaliana imekaaje?

    Wadau naomba melezo kidogo maana nashindwa kuelewa. Hii ni ile style miguu inaangaliana kwenye vidole gumba na visigino vinaachana mbali. Binafsi naona wanatembea vibaya sana na haina mvuto kabisa. Labda ni mimi tuu. Je, ni fasheni, ugonjwa, kukosa uvungu mguuni au ina mahusiano na style za...
  3. Fundisi Muhapa

    Ajali ya Toyo maeneo ya Tanesco Arusha

    Mwalimu wa Arusha day amepata Ajali mbaya baada ya bodaboda alokua amepanda kugongwa na teksi mida ya saa 10 unusu jioni hii. Yeye na dereva bodaboda wamekimbizwa mt meru. Kaumia sana kichwani. Mpanda bodaboda Kaumia kdg mguuni. Arusha leo ni pepo la Ajali tu. Mwenye makosa kwa bei ya macho ni...
  4. Fundisi Muhapa

    Majina ya kigeni: Ni usasa, kutojiamini, ukoloni mamboleo au?

    Salaam. Ramadhan kareem kwa waliofunga. Imenibidi nilete hili maana nilipata wakati mgumu sana kumchagulia mwanangu jina. Dini inataka nitumie majina ya kizungu zaidi (watakatifu), mtaani walishaanza kumpa jina la kizungu, ndugu walitamani nimpe la baba yangu ambalo pia ni la kigeni. Binafsi...
  5. Fundisi Muhapa

    Ngo ngo ngo..!

    Nimekua mfuatiliaji wa JF kwa muda na nimeamua kujiunga rasmi. Tafadhali naomba ukaribisho na mawaidha yenu wadau kabla sijazama majukwaani. Asante​ :smiling:
Back
Top Bottom