Search results

  1. M

    Ritta Paulsen wa Bongo Star Search

    Anyway mimi naona huyu dada Ritta Paulsen kwa kweli anajitahidi kufanya anayoyafanya she is a very hard working lady, na pia ni role model wa vijana wa Tanzania which is very good ni muhimu sisi pia kuwa na celebrate wa kwetu wenyewe siyo kutoka USA kila siku. Kuhusu kukonda na kunenepa hayo...
  2. M

    Hodi Hodi...!!!

    Jamani nawaombeni wadau wa hapa kunyumba nikaribisheni nimeingia janvini leo kwa mara ya kwanza. Asanteni sana ni mimi Mahengo.
  3. M

    Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

    Achana na udini wewe Nyumbu na wewe umekuwa mvivu kufikiri. Kama waislamu mbona Kikwete ni muislamu na Mwinyi nae alikuwa muislamu, lakini kaa chini utafakari uongozi wa waislamu na uongozi wa kikristu, mimi siyo mdini ila wewe Nyumbu ukitaka udini hapa patakuwa hapatoshi.. Angalia utendaji wa...
  4. M

    Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

    Go ahead Zitto this is your time man go, go, go, go usikate tamaa achana na hao waliozoea wazee, wizi mtupuuuuuu!!!!!!!!! Uongozi katika karne ya leo umri siyo tija, kuna viongozi wengi wazee duniani kote lakini wakitoa speech zao ni utumbo mtupuuu, haijulikani wanaongea nini, muangalie OBAMA...
  5. M

    Housigeli anataka kuniharibia ndoa yangu jamani

    Duh, pole sana dada. Mimi nakushauri kama unaweza sali sana na hilo pepo likupitilie mbali, muombe bwana Yesu ainusuru ndoa yako, na baada ya hapo wewe sasa jipange upyaaaaaa!!!!!.. Unajuwa wamama wa siku tunajisahau sana katika ndoa zetu, we are taking everything for granted, unadhani ukiolewa...
Back
Top Bottom