Search results

  1. JAKUGOTE

    Unapenda Paka? Tupia picha ya Paka wako tumuone

    Sina sababu mkuu nawachukia tu
  2. JAKUGOTE

    Je, Sokoine alikufa kwa ajali ya gari, Au aliuawa kwa kupigwa risasi 18 kifuani?

    "......haya ni maneno yalitamkwa kwenye Bar moja jijini Dar es Salaam na Dr. Shaba (surgeon) daktari bingwa wa maswala ya upasuaji Yaani kumbe maneno yenyewe ni ya kwenye Bar......??
  3. JAKUGOTE

    Ndoto ni matokeo ya ubongo kupumzika, hazina maana yeyote zipuuzeni

    Nimefuatilia ndoto nazoota zaidi ya miaka 10 sasa, zina maana kubwa sanaaa! Siwezi kuacha kufuatilia ndoto..........kuna baadhi ya mambo unaota leo then kesho yanatokea kweli. Kuna kipindi nilishaota jamaa yangu mmoja anapatwa na janga flani kubwa sana nikapuuzia.......aisee kilichokuja...
  4. JAKUGOTE

    Subaru Forester Vs Honda Crossroad

    Mpambano mwepesi sana hapo hautakiwi kuumiza kichwa, subaru is the best
  5. JAKUGOTE

    Doto Magari atembelea mradi wake wa kufuga nguruwe wa million sabini Dodoma. Na kila nguruwe chakula kwa siku laki 3.

    Nchi ina ujinga ujinga mwingi sana, na waandishi wa siku hizi ukiwa unaongea ujinga ndio wanapata habari.
  6. JAKUGOTE

    Unapenda Paka? Tupia picha ya Paka wako tumuone

    Nilishaapa katika maisha yangu sitokuja kufuga paka. I hate them!
  7. JAKUGOTE

    Mtanange huu nani atatoka mzima?

    Bear ni kiumbe mmoja wa hatari sana kuliko muonekano wake.
  8. JAKUGOTE

    Akutwa akimbaka mtoto (binamu yake) baada ya kumrubuni kumpa Shilingi 1500

    Kwanza ameanzaje kumtamani? Kweli kizazi cha ajabu sana hiki
  9. JAKUGOTE

    Ndugu yangu alishinda betting milioni 7 na laki 4 mwezi wa kwanza, kwa sasa anatia huruma, hii michezo ina maendeleo kweli?

    Yan mwamba mpaka amemiliki boda bado unaona hajafanya kitu? Mpe maua yake aisee labda kama na ww ulitaka upate mgao. Kuna watu hawajawahi hata kununua shati na hiyo hela ya betting yeye ana kitu cha kusimulia aisee
  10. JAKUGOTE

    Nipo dilema: Je, niuze pikipiki yangu Boxer BM 150 ninunue Shineray inayotumia umeme?

    Mimi BM 150 ya kwangu nilinunua 2015, kuna jamaa yangu alinunua baada ya mwaka mmoja baada ya kuwa inspired na ya kwangu, Mwaka jana ameuza ya kwake na kununua hizi toleo jipya gear 5 huku akinishawishi na mm kuuza ya kwangu, nimemwambia kama toleo hili la zamani linapatikana dukani basi nitauza...
  11. JAKUGOTE

    Nipo dilema: Je, niuze pikipiki yangu Boxer BM 150 ninunue Shineray inayotumia umeme?

    Kawaida sana! Ya kwangu ina miaka 9 na bado iko poa, ni utunzaji tu.
Back
Top Bottom