Search results

  1. Makangarawe

    Dudu Baya amkata mama yake sikio na kutokomea kusikojulikana

    Huyo ndiye dudubaya aka ze mamba majina yote yamejaa ujeuri amedhiirisha umamba wake.
  2. Makangarawe

    Wajumbe wa Bunge la Katiba mna kazi nzito ya kuonesha mwelekeo wa nchi!

    Nawapa kwanza pongezi kwa kuchaguliwa kuwa wajumbe wa bumge maalumu la katiba,hakika mimi naamini mnastahili lakini kila mmoja wenu anao uwezo wa kunichunguza na kunipima katika mzani na kuona alistahili au la. Hiyo yote haijalishi nawapa pole kwa kazi ngumu mlio nayo ya kutupatia katiba...
  3. Makangarawe

    Yanayojiri bungeni: Tarehe 20 Machi, 2014

    Bunge maalum la Katiba leo limepata mgeni kutoka Kenya mh. Amos Wako ambaye alikuwa mwanasheria wa Kenya na alishiriki katika mchakato wa kuandaa katiba. Lengo la ujio wake ni kutoa fursa kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kujifunza jambo alilolifanya akiwa Mwanasheria wa Kenya aliyeshiriki...
  4. Makangarawe

    Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

    Kweli kabisa laiti kama serikali ingeweka sheria ya namna hiyo mambo kama yale yasingefanyika,sasa wameifanya kama the source of income kwa kuzidi kuchezea mda.
  5. Makangarawe

    Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

    Nimekaa kimya nikiwatazama wachangiaji na malengo yao nini hasa,kwani wanapoteza mda na kodi za wananchi. Ifikie wakati wajitambue wapo kule kwa ajili ya nini na ni kwa nini,na kwa faida ya nani, wanaharibu hali ya hewa ya nchi pasipo wao kujua,pia wajue kuongea kwingi sio kujua sana.
  6. Makangarawe

    CHADEMA muungane na CCM kwani kifo kipo njiani.

    Mtiririko wa matukio wa Chama cha Chadema umenipa hofu sana na kunikatisha tamaa kwani chadema imepoteza mvuto sio Chadema ile ya Bwana Zitto na Slaa niliijua mimi Wamefanya kampeni kwa gharama kubwa lakini hakuna walichoambulia ukilinganisha na gharama za kampeni,sasa hivi wapo Kalenga...
  7. Makangarawe

    Naunga Mkono Kura ya Wazi kwenye Bunge la Katiba; Sababu Zangu 7

    Mwanakijiji naona siku hizi unabadilika
  8. Makangarawe

    BUNGE LA KATIBA: Yanayojiri leo tarehe 27/02/2014

    Mtu mzima lakini hajitambui hadi leo.
  9. Makangarawe

    BUNGE LA KATIBA: Yanayojiri leo tarehe 27/02/2014

    Mtikila sawa na goroli ya pedeli ya baiskeli.
  10. Makangarawe

    Mh Lowassa sio Masiha ajaye

    Ile mvua iko wapi,kwanza ailete ile mvua ndio tujue yeye ni masihi.
  11. Makangarawe

    Mbowe, Slaa Watofautiana kuhusu Zitto...

    Bravo soon mafahari wataumizana
  12. Makangarawe

    Hujuma Dhidi ya Zitto Kabwe hii hapa,Mungu anazidi kuwaumbua wanafiki

    Wakaamulize Mudhiiri alipomunyoshea mkono bungeni what happened next.........
  13. Makangarawe

    Sakata la Zitto na wenzake: CHADEMA amueni kusuka au kunyoa!

    Kwa jinsi nilivyoitazama hii movie nzuri ya kuvutia ya meli ya chadema inayoongozwa na captain mbowe,baada ya kuona kuwa usukani unataka kushikiliwa na mtu mwingine,kafanya kila mbinu ili amtose kijana zzk baharini, lakini kutokana na akili aliyo nayo kijana zzk anamjua vizuri kiongozi wake...
  14. Makangarawe

    Zitto: Watu wanaishi maisha ya uwongo na Fitna, Sina tatizo na Dr. Slaa

    Zitto ana akili kuwazidi wanachadema wote.
  15. Makangarawe

    Christmas: Askofu Kakobe kuzungumzia mustakabali wa Taifa

    Kakobe kobe mdogo,kibaiologia kobe mdogo ni jinsia gani?kakobe punguani yule hana lolote toka alipotabiri kuwa Mrema atachukua nchi ikashindikana amefeli,anatafuta namna ya kutoka tena,too late.
  16. Makangarawe

    Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dr. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

    Ipo siku huyu saa 8 atakimbia kivuli chake.
  17. Makangarawe

    Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dr. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

    Ipo siku huyo saananee atakimbia kivuli chake.
  18. Makangarawe

    Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dr. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

    Mr Benn saanane ni nyoka wa kijani ndani ya majani ya kijani,amechoka kukaa ndani ya majani.
Back
Top Bottom