Search results

  1. likes

    Marufuku ya uuzaji wa mafuta ya petroli na dizeli mkaoani Dodoma

    Wanajamvi katika wikii hii imeshuhudiwa operation ya kukamata wale wote wanaouza mafuta ya petroli na dizeli maeneo mabalimbali mkoani Dodoma. Sina hakika kama zoezi hili limefanyika na Dodoma town lakini pembezoni mwa mwa mji hili zoezi limefanyika ambako kamanda wa polisi wa mkoa ametangaza...
  2. likes

    Mpiga picha na video za harusi -Dodoma

    Hodi wadau wa JF. Naomba kuulizia nawezaje kumpata mpiga picha (still pictures) na video za shughuli za harusii mjini Dodoma. Kwani natarajia kuwa na shughuli ya harus mjini Dodoma. Vile vilee wapi naweza mpata kampuni au mtu wa mapambo ya sherehe za harui hapo hapo Dom Naomba kuwasilisha kwa...
  3. likes

    Maumivu makali ya korodani inasababishwaa na nini, na tiba yake bi nini.

    Maumivu ya korodani hutokana na ninu na tiba yakee ikoje
  4. likes

    Namna ya kupata hisa katika soko la hisa la Dar es salaam

    Wadau naomba kujua bi kwa namna gan naweza kupata kununua hisa kutok Dar es salaam stock exchange (DSE).
Back
Top Bottom