Search results

  1. mgusi mukulu

    Yupo wapi Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Kayanza Pinda?

    Bila kusahau ni mkuu chuo cha open university
  2. mgusi mukulu

    WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

    Uchaguzi 2020 utakuwa mgumu kwa ccm kupita maelezo... labda waongeze hiyo miaka 7 .. tatizo wameongea sana kipindi hiki . Wananchi wamahamu sana kuwasikia wapinzani ...
  3. mgusi mukulu

    Msaada kwa tuliokusanya vyeti original ambavyo bado vipo Baraza la Mitihani

    Ushauri kama upo halmshauri jikusanyeni kwa pamoja nendeni talgwu uongozi na muonane na mkurugenzi juu ya hilo, ama kama mnachama cha wafanyakazi hapo pelekeni malalamiko hayo... cheti ni mali yako hata necta wanachukuaga copy tu ...
  4. mgusi mukulu

    Diamond Jubilee: Taarifa ya Wanasheria kwa RC Makonda kuhusu Masuala ya Ardhi

    Kwa sababu hana elimu huyo ajiulize pia ni kwanini madaktari hutumia ule mwandiko na lugha ya kiingereza pia. Mabala ya kata na mahakama za mwanzo hutumia lugha ya kiswahili .. pia yupo na wanasheria wake si angewauliza hilo swali ???
  5. mgusi mukulu

    Mtulia: Nitamwaga magari ya kubeba taka katika Kata zote wilayani Kinondoni

    Makonda alishindwa hayo magari.. gari moja la compactor ni mil. 200 tena used .. kata zipo 5 .. 1 bil huo uchaguzi angegairisha hizo pesa zingeenda kununua hayo magari. Tungemwona wa maana sana..
  6. mgusi mukulu

    DAR: Diwani kata ya Kimara(CHADEMA), Paschal Manota ajiuzulu Udiwani na kuvua uanachama; akabidhiwa kadi ya CCM

    Diwani wa Kata ya Kimara ktk Wilaya ya Ubungo, Paschal Manota amejivua udiwani na uanachama wa CHADEMA katika barua aliyoandika Januari 20 mwaka huu. Katika barua yake ameainisha sababu kadhaa ikiwemo kuwepo kwa kutofautiana kati yake na Meya wa wilaya hiyo. Sababu nyingine ni Meya kuita...
  7. mgusi mukulu

    Pingamizi zito dhidi ya mgombea wa CHADEMA kutoka kwa mgombea wa CUF

    Mtaa wa mkunguni upo ila ni mkunguni A au B..
  8. mgusi mukulu

    Wizkid ashangazwa na bei ya midoli ya ngono ‘Sex Dolls’

    Naona ulimwengu wa roho hizi zikifanya kazi sasa ..
  9. mgusi mukulu

    Mnunuzi wa nyumba/ kiwanja usilazimishwe kulipa 10% Serikali za mitaa, haipo kisheria

    Hivi mwanasheria akisimamia mauziano naye huwa ana asilimia yake pale.. na ipo kwa sheria gani na kwa efd gani anakupa...??? Tuanzie hapo mtoa mada .
  10. mgusi mukulu

    Naomba kujuzwa, nani mkubwa kimadaraka kati ya Katibu Mkuu Kiongozi na Mawaziri?

    Katibu mkuu kiongozi anawajibika kwa raisi na makamu wa raisi tu.. waliobaki wote wapo chini yake ... kwa upande wa kiutumishi ..
  11. mgusi mukulu

    Ole Sendeka, Mkuu wa Mkoa wa Njombe anafanya kazi muda gani?

    Nimesikiliza ile audio hatari sijui ataomba msamaha kwa mh au vipi simu hizi ...
  12. mgusi mukulu

    Atolewa vipande 97 vya risasi baada ya kushambuliwa!

    Kwa sababu ya upendo wa mwenyezi mungu ni mkubwa ... tundu lissu mungu anampenda kuliko kawaida na huo ni mfano kuwaumbua wachawi kama nyinyi na bado ... huu mwaka hamtomaliza vizuri naapa . Mtakimbiana wenyewe pale lumumba.
  13. mgusi mukulu

    Mkutano wa hadhara wa mbunge wa Iringa mjini Mh Peter Msigwa wafana

    Mikutano ya wapinzani unaona kabisa nyuso za furaha kwa wananchi. Ila mikutano ya wale mcc ni full kaole sanaa group.. mara vitisho sijui mabango yasiyoruhusiwa hatari tupu..
  14. mgusi mukulu

    Ufafanuzi mdogo juu ya mamlaka ya kamati kuu ya NEC kuteua wagombea ubunge bila mchakato wa kura ya maoni

    Nacheka sana yale yaliyokuwa yanasemwa juu ya upinzani juu ya mchakato wa kura za maoni leo ndio ccm wanayafanya vilevile....eti lowasa kahamia leo mmempa tiketi ya kuwania uraisi mara ohh chadema wanateua watu bila kura za maoni... leo ccm mnafanya nini sasa.. msitufanye wananchi mazuzu..
  15. mgusi mukulu

    Mwanamuziki Nguza Viking 'Babu Seya' na wanae wafika Ikulu kutoa shukurani kwa Rais Magufuli

    Tatizo nyimbo watakazoimba ni chakikundi fulani hivyo kupelekea umaharufu wao kushuka zaidi.
  16. mgusi mukulu

    Serikali yamjibu Tundu Lissu baada ya kuituhumu, Yasema sio busara kulumbana na mgonjwa

    Eti mnamuombe mbona mlikataa watu wasitumie neno lissu iwe kwenye biashara yake, usafiri wake hata kumuombea tu mlikitaa.. leo mnajifanya eti tunamuombea apone haraka. Washenzi wakubwa nyie..mtakufa vifo vibaya sana..
  17. mgusi mukulu

    Hatimae Polepole awaangukia Maaskofu

    Nampenda shetani lakini sio huyu jamaa....
  18. mgusi mukulu

    Barua ya wazi kwenda kwa Askofu Kardinali Pengo

    Mbali ya kuwa ni askofu lakini upande wa pili ni Tiss...hana jipya huyu...
  19. mgusi mukulu

    Hee! 'Kitimoto' na Mapepo ni Damdam?

    Labda ujaelewa ni kwamba aliyaamulu mapepo wayaingie nguruwe lakini nguruwe wakaona ujinga kuingiliwa na mapepo ni heri kujitupa baharini tufe . Hivyo nguruwe wakajitupa baharini na kufa.. mapepo walipoona wamekosa makazi waliyoamuliwa wakaona waweke makazi tu baharini ndio maana hadi leo hii...
  20. mgusi mukulu

    Katiba mpya Tanzania

Back
Top Bottom