Search results

  1. Mkendo

    Kumcheka mtu mwenye medali ya CAF wewe hata huna ya mapinduzi ni kisokorokwinyo

    Usijali mtani hongera sana kwa kuchukua medali.
  2. Mkendo

    Siwezi kuficha furaha yangu kwa Yanga kula kichapo

    Mji umetulia....
  3. Mkendo

    Watu wenye akili wanaisha taratibu, Miaka ijayo nchi itakuwa na ombwe la wataalamu na watabaki wachekeshaji kama viongozi

    Mpaka akili ziwakae sawa, si mmekubali kuongozwa na CCM. Watunga sheria mjengoni ndiyo wale kina Musukuma na Kibajaji, Njoo kwa wakuu wa wilaya ndiyo yale Majambazi yaliyoachiwa juzi toka jela na wavaa vichupi. Kila kitu ni shaghala baghala.
  4. Mkendo

    Kimataifa Simba ni Majimaji mtupu

    Sawa Mkuu nakuombea uhai, ili uje ushuhudie siku moja tukitwaa huu Ubingwa.
  5. Mkendo

    Kimataifa Simba ni Majimaji mtupu

    Vipi ushatoka Shakahola msituni, vipi wewe ukufunga mpaka kufa.
  6. Mkendo

    Kwa kauli ya Waziri wa Sheria na Katiba, CHADEMA acheni maridhiano hakuna Katiba Mpya

    Wewe Mwenyewe mpigaji, ripoti ya CAG umeisoma na kuielewa.
  7. Mkendo

    Update: Miili iliyofukuliwa ya Waumini waliofunga hadi kufa yafikia 83

    Walikufa 20 kule Moshi kwa kukanyagana, wakiaminishwa mafuta ya upako yanaponya.
  8. Mkendo

    TANZIA Mbunge wa zamani, Nimrod Mkono amefariki dunia nchini Marekani

    Wananchi wa Jimbo lake nao walichaguaje mtu ambaye anapoteza kumbukumbu. Na nani aliwatetea Bungeni tokea huo Mwaka 2018. Bure Kabisa.
  9. Mkendo

    Yanga waliingia uwanjani kwa kuidharau Simba

    Mdharau Mwiba........!
  10. Mkendo

    Nabi: Bao la kwanza la Simba sio halali

    Inaonekana alienda na matokeo yake mfukoni.
  11. Mkendo

    Bado Makamu wa Rais Philip Mpango yuko ofisini?

    Wote hawafai ...
  12. Mkendo

    Huko kwenu polisi wana kazi ya kufanya?

    Kazi ya laana , wengi mwisho wao uwa mbaya sana.
  13. Mkendo

    Hili la bwana mdogo (mwanafunzi) kujisomea kwenye taa za barabarani limekaa kisiasa kabisa

    Siyo jambo la kusifia ,huu ni upuuzi tena wa kiwango .
  14. Mkendo

    Edo Kumwembe: Onyango mbuzi wa kafara, Bacca anachafua hali ya hewa

    Kanjanja kwenye eneo lake.
  15. Mkendo

    Kocha wa Wydad nilikuwa sifahamu kuhusu Simba SC

    Chanzo cha taarifa ni kipi..?
  16. Mkendo

    Mwigulu akaliwa kooni Ufisadi

    Kwa madudu haya , wote kwa pamoja tunaweza kuing'oa CCM madarakani.
  17. Mkendo

    Nani ananunua gazeti siku hizi? Hakuna umuhimu tena

    Kizazi çha sasa hakina utamaduni wa kusoma. Nakumbuka kipindi kile magazeti ka Mzalendo ,Mfanyakazi ,Sunday News nk ilikuwa ni kawaida kuyakuta home.
Back
Top Bottom