Search results

  1. Njemba Soro.

    Nakiri kwamba naendelea kujifunza siasa za Tanzania

    Nyerere na Kikwete ni laana kwa taifa hili. Mkapa atakuwa shahidi huko baadaye. Mwinyi ameteseka sana. Magufuli ni tatizo kubwa zaidi kuwahi kuletwa na laana nyenyere na kikwete. Huyu bibi akithubutu kurudi ikulu tuna msiba kabla ya miaka 2 tena. MAMBO NI MENGI SANA.
  2. Njemba Soro.

    Huu hapa Ukweli uliojificha kumhusu Mlalamikaji Mnafiki Fiston Mayele na Lawama zake za Kurogwa na Waganga wa Yanga SC

    Hahaha. Kumbe chama na konde hali ilikuwa hivihivi? Jamaa umesema kweli tupu na naunga mkono hoja!
  3. Njemba Soro.

    Ifahamu miamba ya siasa za bongo kulingana na kanda

    Magufuli anamzidi Nyerere? Membe anamzidi Mkapa? Lowasa anawazidi Sokoine na Mrema?
  4. Njemba Soro.

    Nani aliyesema mafisadi wanaweza kutaka kiongozi mwenye kuwadhibiti? Kati yao, nani atake tena kiongozi kama Magufuli?

    kindeena kya mburu au ichoondi? Ila mtu asikulazimishe ukubali kila kitu. Hata mimi jiwe naona alizingua vingi.
  5. Njemba Soro.

    Nimekutana na matapeli leo asubuhi

    siku nyingine utabakwa!
  6. Njemba Soro.

    Kuna tatizo gani Ikulu ya Dodoma mpaka wageni wapokelewe Ikulu Dar es Salaam?

    Jiwe alihamia chato siku chache kabla hajafa.
  7. Njemba Soro.

    Alikiba amrushia kijembe Diamond Platinumz

    huna adabu mara 13!
  8. Njemba Soro.

    Masoko yaanza kuchomwa tena? Angalia Soko la Mbuyuni Moshi likiteketea

    itatajwa mateja walikuwa wakivuta bangi mahali hapo.
  9. Njemba Soro.

    Alikiba amrushia kijembe Diamond Platinumz

    hajui kuimba? Huwa anaongea kwa beats na musics?!
  10. Njemba Soro.

    Wachezaji wa timu za wenzetu wanalia kwa kutoingia nusu fainali ila Taifa Star yetu ni full tabasamu ilipoishia

    Tshabalala na Kapombe ndio wanaliaga. Wengine ni makauzu sugu.
  11. Njemba Soro.

    Nini kimeufifisha ghafla Umaarufu wa Bondia wa Mchongo Kareem Mandonga?

    hahaha. Hivi kwa ile sura bado mtaro unalika? NAUNGANA NA MTOA MADA NJE YA MADA.
Back
Top Bottom