yesterday is among worst day in our history of tz, nilishuhudia raisi asiye na haiba(mswahili pasee( hata kidogo akihutubia namimi kama mwananchi wake nilishindwa kuendelea kumsikiliza.... shame on us
mbado....kurudi tena?.mbado...kusafishwa?....mbado...utabiri?...mbado
ila ninachomkubali lowasa is a friendly man. on personal level sio mbaya kivile kama watu wanavyofikili....ila bwana kimasilahi...
all in all tuone inawezaje hii kampeni ikatoka nje ya jamvi ili iwakute majority..
Mungu aliwapa wanaisraeli sauli kwa sababu waling'ang'ania. lakini baadae aliwahurumia akamleta DAUDI- anaetamkwa 'rafiki wa Mungu'.
by faith we can stop this gentleman next year....
Jana nilitizama kipindi cha ze komedi, kwakweli vijana wanajitahidi kuwa na sustainability, tho these days popularity imeshuka kidogo tofauti na miezi mitatu kurudi nyuma. vijana wanakuja na innovations, seems they get trouble to think, thats good!!!!!!!!
BUT sikutegemea kikundi kile...
kachelewa mpira upo bungeni, huko ndo lazima mshindi apatikane, hata kama raisi atakubali bado kiporo cha maazimo 23 lazima kiishe na mbaya zaidi wanavyozidi piga chenga ndo muda unayoyoma, bao hawarudishi, alas! uchaguzi huo 2010, image haisafishiki, sijui mhe. atanadiwa na nani, wapambe...
uchumi na siasa ni vitu vinavyokinzana, mwalimu alikuwa mwanasiasa na mtei mchumi,
mandela aliacha ofisi ya sheria ambayo ilikuwa ya kwanza kwa waafrica kwa wakati huo ili atumikie wananchi ambao hata hawajamchagua.....
everyone moved by the spirit to archieve, especially on field he/she...
Mwenzetu wewe wawapi?..............
kama unakifahanu kiswahili vile, ila sidhani kama Mtz.
mengi na azizi wapinawapi, hata mtoto anaejifunza uraia darasa la3 anajua tofauti zake..
hatuwezi kumfananisha EL na mtu mwingine yeyote ktk utendaji...kama ni standards tutatumia strength zake na opportunity alizowai kuzipata, so to compare him with other person its poor analysis
namaanisha kama kweli ni mtendaji basi that is good! BUT utendaji na udokozi kamwe...
Eng..
Unakumbuka one time ilisikika kwamba wananchi wanamuhitaji aende CHADEMA?
ninachokiona in roots wanakyela wamechoka na CCM lakini sio na Harison. sababu kwa sasa bado sijaona alternative ambayo wanayo, ambayo ni afadhali kuliko aliyopo, si Chadema wala CCM.
Na chadema kufanya vizuri...
kuna wanakyela feki humu ambao wanajifanya mslahi yao ni kyela tu, hiyo ni dhambi mbaya! kwamba wanachokiona kwa Dr, ni kusahau jimbo na kuwa Mtaifa na kwao hili ni baya! HAWATUFAI
hivi unafikiri barabara itajengwa kwa kirahisi ndani ya miaka 4 wakati tuko kwenye mapambano...
seemz u know the target of this battle......advice!!!!!!!!!.
i thot u r mature kumbe unajadili kama unafanya practice ya political science....try to be consrtuctive not destructive....
by the way your motive is doubting since you condemn wapiganaji......on the same issue i read in...
Ukiacha suala la Dowans, kujitoa kwenye kugombea nafasi ya uenyeketi CHADEMA - Taifa, kumeonyesha kukosa kwako principles. Huku kunapelekea wewe kuyumba na kupoteza sifa za uongozi bora.
kati ya controversial ambazo hana budi kurethink the direction in political race ni hizo; 1.dowans2.vying...
well done , nadhani umewatageti watu ambao wako kwenye decision position for quick responce, thats gud. nadhani kwa baadaye fikiria jinsi ya kuinform this large group which the only power they have wait next year on ballot box, they need to chew it, and make their decision, if the objective is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.