Search results

  1. J

    Picha: Ibada ya kumuaga Regia Mtema iliyofanyika Tabata

    Katika kipindi hiki ambacho watanzania wamechoshwa na uoza wa viongozi waliopo madarakani, tunapoondokewa na kijana mahiri Kama Regia, ni pigo kubwa kwa taifa. Taifa linahitaji kuwa na mamilioni ya vijana kama Regia ili kuleta mapinduzi ya kifikra na ya kiutendaji. Regia ametoa mchango mkubwa...
  2. J

    Majibu ya Shy-rose Bhanji kwa US blogger juu ya JK

    Alipokosa viti maalum alitafuta ushauri kama ahame CCM au laa. Nadhani baadhi ya washauri wake walikuwa "genuine" kumweleza ukweli - taaluma adimu kwa sasa! Bibie Shyrose, ningependa kukujulisha ya kuwa kama vile serikali inayoongozwa na Chama Chaenda Mrama (CCM) inavyo outsource ulinzi wa...
  3. J

    JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

    <br /> <br /> Hata Kama alikuwa nchini kwani huwa anasikiliza habari na kusoma magazeti? Kama angekuwa anasikiliza na kusoma magazeti angeonyesha dalili za awali za uelewa wa alama za nyakati.
  4. J

    JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

    <br /> <br /> Hakuna uamuzi wowote " mgumu, mzito na wa kiume" aliofanya JK kwa kumrudhisha DJ likizo. Alichofanya ni kutekeleza matakwa ya wapinzani pamoja na wabunge wachache wa CCM wenye uchungu na nchi yako - Lukuvi sio mmoja wao!
  5. J

    Vijana tuwaambie wabunge wetu hatuitaki ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali

    Uamuzi wa kuunda Kamati teule kuchunguza pamoja na sakata la Jairo, kuingiliwa mamlaka ya bunge, ni dhahiri utakuwa na manufaa zaidi ya kasheshe la Jairo, kwa maana mchakato mzima na matokeo yake yataingiza adabu na akili kidogo kwenye vichwa butu na sugu vya watawala wachwara waliolewa madaraka...
  6. J

    Jenerali Ulimwengu amfananisha Pinda na mbwa wa PAVLOV

    Uliyosema ni ya kweli. Siamini kama watawala - na siyo viongozi, wanasoma makala Kama hii, kwani wamelewa posho na kuvimbiwa vyeo, kiasi kwamba hawajisumbui tena kusoma kuongeza ufahamu wao
  7. J

    Ushauri Katika Kukuza Vipaji Michezoni

    Ndugu wana Jamii Forum, Kwa mara nyingine tene nasikitishwa na kufungwa kwa timu yetu ya mpira wa miguu ta Taifa Stars na Amavumbi! Hivi sisi tutakuwa kichwa cha mwendawazimu mpaka lini? Tangu Mzee ruksa atoe msemo huo ni takriban miaka 20 sasa, bado tuu, twanyolewa tuu, du kazi kweli...
  8. J

    Culture Music Group na Bi Kidude: Mabalozi wetu ambao serikali haiwajali

    Wana Jamii Forum, Bi Kidude, tales of a living legend, ni kitabu kilichoandikwa na Ali Saleh na wenzake. Kitabu hiki kilichojaa picha za bi Kidude, kinazungumzia maisha yake, kama anavyoyaeleza yeye mwenyewe, na jinsi anavyoelezea mila, desturi na tamaduni za wazanzibari. Kwa wale wanaotambua...
Back
Top Bottom