Search results

  1. darasa7

    Daktari wa Wilaya ya Korogwe na Katibu wake haya ndio madudu yao...

    Mi mjalisia mali ila wananchi tunalalamika na watumishi wanalalamika mbona Raisi tulimwambia alipo kuja mwezi juzi ila wanaitajika wachunguzi waje
  2. darasa7

    Daktari wa Wilaya ya Korogwe na Katibu wake haya ndio madudu yao...

    Izo taratibu wote tunazifahamu kwa pale nakwaambia sijui wanatumia mbinu zipi hapa barua zinaandikwa kwa DMO sasa sifahamu baadaye DMO anaandika kwa ujumla ila mweka azina yupo ofisi ya DMO na sio kwa mkurugenzi na mkurugenzi anaye mweka azina wake wa wilaya
  3. darasa7

    Daktari wa Wilaya ya Korogwe na Katibu wake haya ndio madudu yao...

    We tayari ushafanya au ndio wale wale
  4. darasa7

    Daktari wa Wilaya ya Korogwe na Katibu wake haya ndio madudu yao...

    Taratibu za upande wa vitengo hapa taratibu zinakiukwa hivi ufahamu kuwa mwenyekiti wa almashauri kasimamishwa kwa ajili ya kusaini deal la fedha nzito upo wapi
  5. darasa7

    Daktari wa Wilaya ya Korogwe na Katibu wake haya ndio madudu yao...

    Sawa ila fedha za hapa zinaitwa kwa hazina ndogo azipitii kwa DED wala kwa mweka azina wa wilaya ila ni azina kubwa Tanga na hata maombi yake yanaishia kwa DMO
  6. darasa7

    Kiukweli sijaona tofauti sana kati ya tecno yangu na smartphone nyingine, zijue sababu?

    Sio kupiga picha huo ni mfano tu sijagusa vitu vingine naogopa atakimbia we huoni hata chief mkwawa kakataa kuchangia najua anaweza kutapika
  7. darasa7

    Daktari wa Wilaya ya Korogwe na Katibu wake haya ndio madudu yao...

    Pamoja na mambo mengine wafanyao lakini sasa watumishi na wananchi wa wilaya hii wamechokana, hawa watu wamekuawa kama miungu watu,pitia ziara ya Raisi mwezi juzi tulitoa malalamiko yetu na hata halipo ulizwa kuhusu matatizo alijibu kisanii sana,madudu yao ni: 1. Wanawatumia wakuu wa vituo...
  8. darasa7

    Kuku wa broila tishio kwa walaji

    Wizara mbona kimnya!!! TDFA mbona kimnya au yeye ndio msemaji. Asante kwa taarifa tutapunguza kula dagaa mahindi karanga na kuacha. Kuwapa ngombe machudu
  9. darasa7

    Kiukweli sijaona tofauti sana kati ya tecno yangu na smartphone nyingine, zijue sababu?

    Huyu jamaa alikuwa na clone s3 na pia kanunua mchina p5 wote baba mmoja ebu piga angalau picha huone hayo mautumbo yako yanavyo onekana we hata ya kitochi inakufaa c ni kupiga na kupokea!!! WE unafikili s3 original unaweza kufananisha na p5 kwanza ungekuwa nayo usingeuza kwa hiyo bei na nafikili...
  10. darasa7

    Nisaidieni, Akili yangu ipo kama imefungwa

    Huyo ni pepo wa kufelisha tena shukuru MUNGU umemtambua mapema tafuta mchungaji wa kweli sio hawa matapeli akuombee utafunguka na mawazo ya ushindi yataingia
  11. darasa7

    Lattop inachagua frash na pia inakataa kusoma card reader

    Sawa nimekupata .utorrent ninayo
  12. darasa7

    Lattop inachagua frash na pia inakataa kusoma card reader

    Bugs ndio nini? Usinicheke najifunza
  13. darasa7

    Lattop inachagua frash na pia inakataa kusoma card reader

    Asante mkuu widow disc nitazipata wapi mi ni mgeni kwenye IT
  14. darasa7

    Lattop inachagua frash na pia inakataa kusoma card reader

    Naomba msahaada kutoka kwenu nawakilisha
  15. darasa7

    VIDEOS: Mch. Gwajima awajibu wanaomsema

    [/IMG]Pepo wachafu wawatoke
  16. darasa7

    VIDEOS: Mch. Gwajima awajibu wanaomsema

    kaka umeumiza mbavu zangu arafu nina njaa naomba unilipe!!!!!
  17. darasa7

    Hivi muda wa kuapply vyuo vya afya bado jamani?

    Kwa hiyo certificate alipi hiyo 30000
Back
Top Bottom